Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
 
Basi hapo tunapotofautiana mkuu... Kwenyw gari naangalia interior na safety... Hata tukirud kwenye transit volvo wana vichwa vitam sana sema ndo vile mjeruman alishafanya yake since enzi za Hitler.
Mkuu hapo kwenye safety,unafahamu kuwa safety rating huwa inafanywa katika 40mph ambayo ni kama 64km/h ? Ina maana kwa speed zaidi ya hapo hakuna data zozote kuhusu safety.
 
Chukua Mercedes Benz C Class kama unataka kumnunulia gari Housegirl wako asipate tabu kwenda sokoni.

C Class ni low class katika Mercedes Benz.
Mercedes C ni cheap class, walau angeruka na S class angekuwa wa maana
 
Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
Sasa hio gari yako itatumia control box ya Range Rover au ya Landcruser?
 
Chukua BMW..nna experience na C220 benz..petrol,ipo very reliable inakimbia but shape sio nzuri.so kama ni utapenda sytle in driving chukua BM..ila jiandae vitaa vya chek engine..otherwise naona kati ya hizo mbili kama zinafanana tu kwa kila kitu kasoro shape..
 
Kama unaanza kuulizia habari za wese ni bora tu uchukue vibaby wolker yasije yakakukuta kama yangu kutoka kwenye nissan fuga mpaka mpaka Premio
Nimecheka sana, yani kwakweli kwenye masuala ya usafiri wese ni pasua kichwa.
Sasa ww hilo fuga hukulijua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
Ukijibiwa unitag but mimi nataka Range Rover bodi niweke injini ya Land Rover Discovery TDI 5 na kama inawezekana nitafurahi kupata ushauri na namba za gereji yakufanyia.
 

All are super, stable and very luxurious Car, but I am in love na BMW
 
Pia wewe una hizo characteristic za low class, mtu wa high class hawezi kuuliza lita 1 inaenda km ngapi.
Kwa ushauri wangu chukua M3 coupe kwa wewe mwanamke, ni gari zuri sana.
Kwaiyo mtu anayetaka kujua bajeti ya kitu kabla ya kununua ni low class???

Mbona Warren Buffet ni tajiri namba 3 sijui duniani lakini ni mbahili???? Kwaiyo na yeye sio high class????

Iyo ni nature ya mtu tuu.....hata kama nina bilioni 3.1 benki kamwe hutaniuzia Big G kwa elfu 3...zaidi ntanunua kwa shilingi 100!
It's human nature!
 
Kwanini kuanzia 2010 mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…