I M
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 434
- 767
Jinsi tunavyolifikiria au kulitatua tatizo kunaweza kua ndio tatizo kubwa kuliko tatizo lenyewe.Nimesoma hio sura ya kwanza ya Ruth , kwa jinsi huyo mama alivyo pitia kadhia ile sijui kwa nini mleta mada ameamua kutumia hii kama kichwa cha mada yake.
Ukitazama kwa jicho lingine unaweza kuona ndani ya mleta mada kuna hali isiyo rahisi.
Imenifikirisha sana.
Ni kweli hili tatizo lake ni kubwa nahisi linamfanya akose kuona thamani ya maisha yake, watu wa saikologia na theolojia nahisi wanaweza msaidia.