Niiteni Mara (uchungu)

Jinsi tunavyolifikiria au kulitatua tatizo kunaweza kua ndio tatizo kubwa kuliko tatizo lenyewe.
Ni kweli hili tatizo lake ni kubwa nahisi linamfanya akose kuona thamani ya maisha yake, watu wa saikologia na theolojia nahisi wanaweza msaidia.
 
Aiseee tupo wengi kwenye haya mambo....
Niliambiwa nimelogwa... Ever since watu weng walinitenga...

Yote kwa yote pole sana...

Sina usonji ila nina a mental health issue...
 
Aiseee tupo wengi kwenye haya mambo....
Niliambiwa nimelogwa... Ever since watu weng walinitenga...

Yote kwa yote pole sana...

Sina usonji ila nina a mental health issue...
Pole sana
 
Jirani ninapoishi kuna mtoto binti miaka 6 ana vishiria vyote vya usonji.

Nilivyosoma uzi wako nimewaza huenda na yeye akapitia kama uliyopitia sababu ya uelewa mdogo wa jamii juu ya usousonji
Kwa kweli ni ngumu, ila miaka hii watu wanaanza kuelewa. Huenda akapata support mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…