Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Sema sishindwi, usijumlishe watu ujuwe... Umewahi enda shule za vijijini ukaona wanafunzi na sare zao? Umewahi sikia kuna watu kwenye kula tu, wana mlo mmoja kwa siku?
Haya ada shule za serikali kabla hazijaondolewa ilikuwa shilingi ngapi? Say 70,000/- kwa mwaka.. Haya hivyo unavyoviita vidogo ni shilingi ngapi kwa mwaka? AU kwa sababu unalipa kidogokidogo ndo unaona siyo gharama?

Chukulia unampa mtoto nauli, shilingi 500/- kila siku. Kwa siku tano za wiki ni Tshs 2,500/-, mwezi 10,000/- Kwa mwaka 100,000/-. Hapo bado hivyo vingine unavyoviita vidogo vidogo

Iliyotolewa ni 20k
 
Welcome to the 3rd floor.
Tulioko huku ndo tunaitwa "mishangazi"
Shukrani sana My Dear,

Nimecheka na hilo jina "Mishangazi"

3rd floor inaanza kunitisha sasa [emoji23]
 
Back
Top Bottom