Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Nijiandae vipi kuingia Miaka 30?

Happy birthday CM,
Soon utashangaa unaulizia "nijipange vipi kuikaribisha 40...then 50"

Nimependa msemo wa Watu8 hapo, unaanza kutengeneza "regacy".

Kila la heri.
Thank You Eroni,

Naogopa kufika 50 sijui kwanini,
nashindwa kuji imagine nikiwa kwenye 50s
[emoji19]
 
Wengine tuna miaka 37 bado tunaishi kwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Life begin at fote bana aalaah...
Usijali wala nini tutatoboa tu,
wanasema Yesu mwenyewe yupo kwa Baba yake itakua sie [emoji854]
 
3rd floor eti hawa watoto wanatuita wazee.
Wamesahau huu ndo umri ambao tunaweza kitembea na babu zao, baba zao, na wao wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesikia 3rd floor na sex drive inakua High sana full ku enjoy hehehehe utu uzima dawaaaaa
 
Kila la heri mkuu , kula vizuri ,tengeneza mazingira ya kina Junior !! Hatutegemei uwe kwenye mahusiano ya kuruka ruka !! [emoji3][emoji3][emoji3] hata kama ni mchepuko uwe official.
 
Back
Top Bottom