Nijifunze kipi kati ya excavator na gari kubwa(howo, scania, faw, daf n.k).

JITU BANDIA asante sana kwa ushauri wako nitauzingatia.
Cha kuongezea tu... ukifanikiwa kuijua chuma mojawapo kati ya hizo...hizi zingine ni kuteleza tu... jitahidi kurukia chuma yoyote utakayoikuta imepark eneo unalofanyia kazi...

Nakumbuka nilishawahi kuitwa kwenye interview moja ya excavator, (kampuni x ina ofisi hapo morrocco greenaker building na yard yao iko sinza lego)na mm ni op wa greda, nikiwa kijiweni sina kazi...nilienda

Huwezi amini niliipandisha na kuishusha excavator kwenye lowbed watu 28 walifeli! Tukapass wawili...

Baada ya kuajiriwa ndipo wakapitia upya cv zangu wakiwa desperate! wanatafuta op wa greda... walifanya kunihamisha tu mashine na kuniongezea ujira...

Ukishajifunza mashine moja jijengee Confidence! Mimi nilielekezwa vitu vichache tu kwe simu tu...nikapasua interview! Nikazimwaga ng'ombe 28
 
Nalifanyia mpango hilo wazo la drill-Rig nikifanikisha nitakutafuta mkuu.
 
Back
Top Bottom