Widowmaker
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 305
- 572
Habari mkuu,ukitaka kupata tiba lazima uwe muazi,japo ni vigumu kuwa muwazi kwenye jamvi kama hili ila kwa kuwa hatufahamiani wakati mwingine kuwa wazi,hormone uliyotaji ingekuwa vyema ifahamike jinsi yako na sababu ya kutumia najua kwa mwanaume ikiwa chini ina madhara yake hivyo replacement huhitajika(HRT),ukijibu maswali hayo nitakusaidiaHabari Wakuu?
Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.
Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.
Asanteni.
Kwa mwanaume hili la kubleed likoje tena?Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
Mm ni mwanaume...je naweza kutumia hii dawa?!Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
Unaihitaji kwa sababu zipi ? mi nashauri ungefika hospitali wakuchek hormone profile wajue ipo kiasi gani , baada ya hapo mtaalamu atakushauri dawa kutokana na level uliyo nayo na lengo la tiba yako.Habari Wakuu?
Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.
Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.
Asanteni.
Mkuu primulut N(norethistorone) na testosterone ni hormone mbili tofauti.Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
Hhahaahaaa dah kuvurugwa kaka ,, halafu nisaidie hapa mm hii homon ya testerone imenizid nafanyaje ??Mkuu primulut N(norethistorone) na testosterone ni hormone mbili tofauti.
Mkuu hyo ni hormone ...ambapo kuna dawa zake kwa matumizi ya binadamu(Me & Ke) kwa jina hilo hilo "testosterone"Habari Wakuu?
Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.
Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.
Asanteni.
Jinsia gani wewe Mkuu?Hhahaahaaa dah kuvurugwa kaka ,, halafu nisaidie hapa mm hii homon ya testerone imenizid nafanyaje ??
Kwa hiyo unahisi ana shida gani? Maana yeye hataki kusema ila anataka kujidunga madawa tuMkuu hyo ni hormone ...ambapo kuna dawa zake kwa matumizi ya binadamu(Me & Ke) kwa jina hilo hilo "testosterone"
Wingi wa hormone au upungufu wa hormone mwilini tofauti na inavyohitajika inaweza leta shida mwilini
Kama ulvyosema wewe ni Me basi naweza predict unaitaka kwa nia gani au matumizi gani ila uwe makini maana hormone ambayo inategenezwa mwilini automatically ukiongeza mwilini kwa kutumia dawa zake bila guidance kutoka kwa health professional unaweza sababisha mwili kupunguza production ya hiyo hormone ukabaki kuwa dependent wa hiyo dawa.
Privacy ya mgonjwa ni muhimu sana Mkuu,Kwa hiyo unahisi ana shida gani? Maana yeye hataki kusema ila anataka kujidunga madawa tu
Sawa mkuuPrivacy ya mgonjwa ni muhimu sana Mkuu,
Ke,Jinsia gani wewe Mkuu?