Nijuzeni vidonge vya kuongeza testosterone

Widowmaker

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
305
Reaction score
572
Habari Wakuu?

Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.

Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.

Asanteni.
 
Habari mkuu,ukitaka kupata tiba lazima uwe muazi,japo ni vigumu kuwa muwazi kwenye jamvi kama hili ila kwa kuwa hatufahamiani wakati mwingine kuwa wazi,hormone uliyotaji ingekuwa vyema ifahamike jinsi yako na sababu ya kutumia najua kwa mwanaume ikiwa chini ina madhara yake hivyo replacement huhitajika(HRT),ukijibu maswali hayo nitakusaidia
 
Kuongeza Testesterone homoni?
Au testes zako ni ndogo unataka ziwe kubwa?
Funguka mkuu.
 
Mkuu izo homoni unazotaka kuongeza inabidi tujue na tatizo unalopitia mkuu.
 
Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
 
Mm ni mwanaume...je naweza kutumia hii dawa?!
 
Habari Wakuu?

Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.

Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.

Asanteni.
Unaihitaji kwa sababu zipi ? mi nashauri ungefika hospitali wakuchek hormone profile wajue ipo kiasi gani , baada ya hapo mtaalamu atakushauri dawa kutokana na level uliyo nayo na lengo la tiba yako.
 
Dawa yake ni primolut N ,, kuna brand name nyingine inaitwa hivuo hivyo testerone,, doz inatofautiana a ukubwa wa watatizo ila kama unavyojua ukimaliza lazima ukae kama siku 2-4 utableed ,,
Mkuu primulut N(norethistorone) na testosterone ni hormone mbili tofauti.
 
Habari Wakuu?

Mimi naomba watalaam haswa kama ni Dr uniambie vidonge navyoweza kumeza ili niweze kuongeza testosterone. Naomba nijue vidonge vizuri ambavyo vinapatikana maduka ya dawa hapa Tanzania.

Nimeomba kutajiwa vidonge sababu nimejaribu njia za kawaida naona inachukua muda mrefu sana.

Asanteni.
Mkuu hyo ni hormone ...ambapo kuna dawa zake kwa matumizi ya binadamu(Me & Ke) kwa jina hilo hilo "testosterone"

Wingi wa hormone au upungufu wa hormone mwilini tofauti na inavyohitajika inaweza leta shida mwilini

Kama ulvyosema wewe ni Me basi naweza predict unaitaka kwa nia gani au matumizi gani ila uwe makini maana hormone ambayo inategenezwa mwilini automatically ukiongeza mwilini kwa kutumia dawa zake bila guidance kutoka kwa health professional unaweza sababisha mwili kupunguza production ya hiyo hormone ukabaki kuwa dependent wa hiyo dawa.
 
Kwa hiyo unahisi ana shida gani? Maana yeye hataki kusema ila anataka kujidunga madawa tu
 
Ukitaka supliments kijana utaletewa nying na zisifanye kaz.
Fanya haya ingawa ni gharama

1.punguza fats mwilin sabab znaifanya testo isifanye kaz vzur kwenye damu.
2.zinc ni element mojawapo inayotengeneza hyo homoni,so pata madin haya kwa wing,vipo vidonge vyake or tumia sana mbegu hiz,mfano za maboga au tikiti,mdalasin n the like ndo hua zina zink nying ndomana weng hushauriwa na watu wa mitishamba watumie sjui mlonge,sjui nin,hawajui wats inside ila ni hyo zinc ndo mchaw mwenyew,
3.hakikisha unapungua uzito mjomba,..usione watu wanafanya mazoez sana skuhiz weng wana matatzo na hyo homon kwa namna 1 au nyingne
4.pombe pia inaifanya testo isijimwaye mwaye mwilin vzur.

Ni hayo tu,..suppliments za vidonge si nzur ,sina sabab ila si nzuri mjomba.
 
Back
Top Bottom