Nikaribisheni

Nikaribisheni

Hahaha hahaha huku kuzuri kwakweli
Njoo inbox nikupe muongozo ili usije potea... Mimi ndiyo baba paroko humu jf kazi yangu kama kiongozi wa dini ni kulinda kondoo wasipotee, muulize shunie nyadhifa yangu.... Upo mikono salama ukija PM
 
GuDume, Avatar mork umeyaona wapi wakati hao wote sijawaona hapa?

Wewe mgeni chai yako imechacha sasa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nimepita baazi ya sehemu. Tangu Jana jioni nimejiunga hapa kuna sehemu nyingi sana watu wanakoment sana sana Kwenye siasa na post za mapenzi. Gudume nimemkuta anataka kutoa bikra kitu kama icho[emoji1]
 
Back
Top Bottom