Nikaribisheni

Nikaribisheni

Kumbe kuandika majina halisi ni muhim sana. ILA linaonekana ni ke
hahaaa naam laone kana ni ke.maana lina usoft flani hvi..ila humu ukiandika majina yko halisi then ukajifnya matawi nakuwa danganya watu kuwa mambo yko safi wakati msosi wenyewe rakaa moja ..utawafnya watu wakudukue kisha waje kukuanika humu mpka utakoma..unaweza kuiona jf chungu kama sifongo
 
Asante sana. Huku Raha sijui kama ntaleft
huku hakunaga kuleft mkuu ..labda kifo kikutembeleee..utacheka humu mpka ukojoe..wanasema kuna machizi milembe ..lakini humu sasa kuna machizi ambao wana degree zao humu humu..kuna wakati watakupa fact mbalimbali zakuuhusu ulimwengu na vilivyomo utaelimika mpaka utajilaumu kwanini ulichelewa kuja Jf ..halafu hao hao watakao kuelemisha kesho yake utashangaa wakianzisha uzi kuwa MKE WANGU KANIFUMA NA CONDOM ILIYOTUMIKA KWENYE DUSHE ..MWINGINE UTAMSIKIA WANAUME MUWE MNAFUA BOXER ..hahaa fautilia comment sasa utachoka ..jiandane mapema kupasuka bandama
 
Back
Top Bottom