Nikaribisheni

Nikaribisheni

Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
niko hapa rafki karibu hebu fanya kupm
 
nilikuwa nasubiri hili swali nilijua lazima litaulizwa ..heshima yko mkuu
[emoji51][emoji51], kwani wakati anajitambulisha hujasoma vzri.... Yeyote aliyekaribu na wewe akupe konzi kwa niaba yangu....hahahah

Nevo255
 
[emoji51][emoji51], kwani wakati anajitambulisha hujasoma vzri.... Yeyote aliyekaribu na wewe akupe konzi kwa niaba yangu....hahahah

Nevo255
hahaaa akishanipiga konzi utamlipa vipi sasa maana atakuwa amepoteza nguvu kwakufnya kazi bure
 
Humu ndani kuna raha yake, kamwe hutajutia kujiunga na JF kwani kuna watu wa kila aina ! Kwa ufupi utajifunza mengi ila tu usiwe mwepesi wa hasira.
 
Yani ni sahihi usemacho hapa nimecheka mchana kutwa . humu usipojiangalia utakuwa unacheka kama chizi njiani
weee Cheka tu ..hahaaa
bwana wako akikuuzi kimbilia huku ..stress zote zitakimbia
 
Karibu kivurini huku hakuna joto furu mabaridi.karibu saana Aniva.ila weka picha ili tujuwane.
 
Habari zenu. naitwa Aniva ni msichana 25-30's Age

Nimejiunga humu Jana. Naombeni Kiti Na miongozo ya humu ndani. Ntafurahi Kama nitapata marafiki Wa aina zote Asanteni.
Wewe ni bikra?
 
Back
Top Bottom