Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni hadi sasa.
Hii kitu ina uhalisia au ni story? Kuna jamaangu alinambia pale soko la Memorial scenario kama hii Ilitokea 2020
 
Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.

Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa watu ambao wametumia mitandao ya simu kwa mda mrefu".

Akataja mitandao husika sitaitaja hapa sitaki kuwapa promo, akaniambia nisogee kwenye gari nipewe zawadi yangu, anyways nikaona isiwe tabu ingawa nilisita kidogo lkn nikasema ngoja nifuate nyuki nile asali.

Nakutana na madam mwengine ananiambia hapa tunapromotion kwa wateja wa mda mrefu, ndani ya gari kuna madam mwengine ana daftari nikaulizwa jina langu nikawatajia pamoja na namba yangu ya simu.

Huyu wa nje akatoa kikadi nichague karatasi moja nipate zawadi, nikachagua,kufungua akasema waoo! Umejishindia simu, akaleta box kweli kufungua simu rununu mpya.

Nikajisemea moyoni yaan mtu unashinda simu kirahisi tu hivi hivi, akaniambia kaka sasa hii simu ni laki nne na nusu ila kwasababu ya promotion utaipata kwa laki na ishirini, nikamwambia madam sina ratiba za kununua simu istoshe hapa sina bajeti hiyo.

Madam akasema unaweza weka deposit hata ya elfu hamsini halafu ukakomboa siku nyingine, nikamwambia sina hiyo hela hapa, madam akasisitiza waeza weka hata elfu tano tu! Duh nikajiuliza hii imekaaje yaan simu ya laki nne mpaka unaweza weka deposit buku tano?

Nikamwambia nayo sina, nikageuka na kusepa zangu, hatua tano toka nitoke pale ebwana eeeh nikasikia Bonge la Msonyo hahah,,, unajua nini wameshindwa kunitapeli kwahiyo wakamind, wala sikugeuka nyuma nikajisemea moyoni imekula kwenu.

Jamani walisema wadau mjini ni shule kwahiyo hakikisha mda wote unavaa unifomu madaftari utayakuta huko huko.

Ni hayo tu!
Hivi dunia ya leo njiani mtu anakuuliza jina lako na namba za simu unamtajia bila hata kumjua? Kweli Bongo nyoso!
 
Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni hadi sasa.
Huwa hakuna kitu kama kuzubaishwa. Ni maneno matamu tu ya kupumbaza.
 
Hii kitu ina uhalisia au ni story? Kuna jamaangu alinambia pale soko la Memorial scenario kama hii Ilitokea 2020
Sio story, ni dem ambae nilikuaga napiga tukabaki washkaji... Alivopata nafuu ndo akanitafuta na kunipa hicho kisa. Sina ham hata kumsogelea saizi. Kimsingi bado anasumbuliwa na ganzi miguuni..na ni binti tu hata 30 hajafika
 
Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.

Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa watu ambao wametumia mitandao ya simu kwa mda mrefu".

Akataja mitandao husika sitaitaja hapa sitaki kuwapa promo, akaniambia nisogee kwenye gari nipewe zawadi yangu, anyways nikaona isiwe tabu ingawa nilisita kidogo lkn nikasema ngoja nifuate nyuki nile asali.

Nakutana na madam mwengine ananiambia hapa tunapromotion kwa wateja wa mda mrefu, ndani ya gari kuna madam mwengine ana daftari nikaulizwa jina langu nikawatajia pamoja na namba yangu ya simu.

Huyu wa nje akatoa kikadi nichague karatasi moja nipate zawadi, nikachagua,kufungua akasema waoo! Umejishindia simu, akaleta box kweli kufungua simu rununu mpya.

Nikajisemea moyoni yaan mtu unashinda simu kirahisi tu hivi hivi, akaniambia kaka sasa hii simu ni laki nne na nusu ila kwasababu ya promotion utaipata kwa laki na ishirini, nikamwambia madam sina ratiba za kununua simu istoshe hapa sina bajeti hiyo.

Madam akasema unaweza weka deposit hata ya elfu hamsini halafu ukakomboa siku nyingine, nikamwambia sina hiyo hela hapa, madam akasisitiza waeza weka hata elfu tano tu! Duh nikajiuliza hii imekaaje yaan simu ya laki nne mpaka unaweza weka deposit buku tano?

Nikamwambia nayo sina, nikageuka na kusepa zangu, hatua tano toka nitoke pale ebwana eeeh nikasikia Bonge la Msonyo hahah,,, unajua nini wameshindwa kunitapeli kwahiyo wakamind, wala sikugeuka nyuma nikajisemea moyoni imekula kwenu.

Jamani walisema wadau mjini ni shule kwahiyo hakikisha mda wote unavaa unifomu madaftari utayakuta huko huko.

Ni hayo tu!
Kuna wengine walinifata hvyo hvyo nikawambia mm Ni afsa wa police Leo mmeingia kumi na nane za serekali
Nikaonesha ishara ya kusonga mbele kwa nguvu kumsukuma ndio akajuwa Niko serious nikawambia leo mtalala ndani mseme mko wangapi mnawatapeli watu

Mmoja kasema afande tuweza kuongea plzz plz

"Nikawambia twende tukaongeaa kituoni Huku nampigia jamaa angua ambae nae anajuwa kujifanyaga police faster nae akarespond vzr nikamuambia njoo na pira Kuna matapeli nimewadaka demu akaona Niko serious akapiga magoti kuomba msamaha yaishe tusifike mbali

Ndio nikawasikiliza kwa haraka nikawammbia mnataka kusema nn Seema haraka kbla wezangu hawajaja hapa

Akasema iko 30k Kash nikamuambia acha ujinga unatapeli watu Kisha unipe elf 30k ngoja utajuwa hujui akaongeza akafika
50k walitoa palepale nikaisimamisha boda inatembee nikapanda nikawaachia vumbi na Dole la Kati ,mm baaada ya kukaa vzr kwenye boda

Nikapata zangu 50k ya matapeli
 
Sidhani kama hao wadada ni matapeli, tunakimbilia sana kuita watu matapeli bila kuhakikisha hao ni wauza simu tu hio ni strategies wanazotumia kwenye sells zao ni vyema ungesikiliza mpaka mwisho ndio uhitimishe.

Bilashaka hao wadada wanakaaga pale sanamu la askari na gari Lao.
 
Duh utapeli wa madawa.
Kuna dem alitapeliwa mwisho wa mwaka jana ,alitoka bank akakutana na jamaa nje ya bank..jamaa kamsalimia afu dem akaitikia ndio ikawa nitolee hiyo, yaani dem akajikuta anamfuata jamaa hadi kwenye gari. Wakaingia dem wakamkalisha siti ya nyuma katikati,pembeni kuna watu wawili. Wakaenda hadi karibu bagamoyo wakamshusha. Dem akabaki kazubaa zaidi ya lisaa, hadi konda wa daladala alipomuuliza vp unaenda ndio akashtuka na kuanza kupiga wayowe. Watu wakajaa dem akazimia..peleka hospital akazinduka kesho yake..simu hana,pochi hana.... bahati nzuri kuna namba ya dadaake anayokichwani ndo kupigiwa wakaja mchukua. Dem aliumwa balaa akawa kama anamapepo...hadi kumletea shehe ndo hali ikaanza badilika kupata nafuu. Miez mitatu ndo dem kaanza kurudi kawaida ila bado anapata ganzi miguuni hadi sasa.
 
Kuna wengine walinifata hvyo hvyo nikawambia mm Ni afsa wa police Leo mmeingia kumi na nane za serekali
Nikaonesha ishara ya kusonga mbele kwa nguvu kumsukuma ndio akajuwa Niko serious nikawambia leo mtalala ndani mseme mko wangapi mnawatapeli watu

Mmoja kasema afande tuweza kuongea plzz plz

"Nikawambia twende tukaongeaa kituoni Huku nampigia jamaa angua ambae nae anajuwa kujifanyaga police faster nae akarespond vzr nikamuambia njoo na pira Kuna matapeli nimewadaka demu akaona Niko serious akapiga magoti kuomba msamaha yaishe tusifike mbali

Ndio nikawasikiliza kwa haraka nikawammbia mnataka kusema nn Seema haraka kbla wezangu hawajaja hapa

Akasema iko 30k Kash nikamuambia acha ujinga unatapeli watu Kisha unipe elf 30k ngoja utajuwa hujui akaongeza akafika
50k walitoa palepale nikaisimamisha boda inatembee nikapanda nikawaachia vumbi na Dole la Kati ,mm baaada ya kukaa vzr kwenye boda

Nikapata zangu 50k ya matapeli
Dah Chief nakupa salute umetisha sana yaan sana

Nimependa Sana hapa👇👇👇

Akasema iko 30k Kash nikamuambia acha ujinga unatapeli watu Kisha unipe elf 30k ngoja utajuwa hujui akaongeza akafika
50k walitoa palepale nikaisimamisha boda inatembee nikapanda nikawaachia vumbi na Dole la Kati ,mm baaada ya kukaa vzr kwenye boda
 
Sidhani kama hao wadada ni matapeli, tunakimbilia sana kuita watu matapeli bila kuhakikisha hao ni wauza simu tu hio ni strategies wanazotumia kwenye sells zao ni vyema ungesikiliza mpaka mwisho ndio uhitimishe.

Bilashaka hao wadada wanakaaga pale sanamu la askari na gari Lao.
Matapeli hao walikuwaga Mbagala Rangi 3
 
Jijini dar es Salaam maeneo ya posta mpya, ilikuwa siku ya ijumaa mwamba naelekea zangu msikiti wa Ngazija kwa ajili ya kuswali swala ya ijumaa.

Nikiwa nakatisha pembezoni mwa maduka mara pap madam mmoja huyu hapa, "kaka shikamoo" nikamuitikia marahaba, akaendelea "tuna zawadi za fulana kwa watu ambao wametumia mitandao ya simu kwa mda mrefu".

Akataja mitandao husika sitaitaja hapa sitaki kuwapa promo, akaniambia nisogee kwenye gari nipewe zawadi yangu, anyways nikaona isiwe tabu ingawa nilisita kidogo lkn nikasema ngoja nifuate nyuki nile asali.

Nakutana na madam mwengine ananiambia hapa tunapromotion kwa wateja wa mda mrefu, ndani ya gari kuna madam mwengine ana daftari nikaulizwa jina langu nikawatajia pamoja na namba yangu ya simu.

Huyu wa nje akatoa kikadi nichague karatasi moja nipate zawadi, nikachagua,kufungua akasema waoo! Umejishindia simu, akaleta box kweli kufungua simu rununu mpya.

Nikajisemea moyoni yaan mtu unashinda simu kirahisi tu hivi hivi, akaniambia kaka sasa hii simu ni laki nne na nusu ila kwasababu ya promotion utaipata kwa laki na ishirini, nikamwambia madam sina ratiba za kununua simu istoshe hapa sina bajeti hiyo.

Madam akasema unaweza weka deposit hata ya elfu hamsini halafu ukakomboa siku nyingine, nikamwambia sina hiyo hela hapa, madam akasisitiza waeza weka hata elfu tano tu! Duh nikajiuliza hii imekaaje yaan simu ya laki nne mpaka unaweza weka deposit buku tano?

Nikamwambia nayo sina, nikageuka na kusepa zangu, hatua tano toka nitoke pale ebwana eeeh nikasikia Bonge la Msonyo hahah,,, unajua nini wameshindwa kunitapeli kwahiyo wakamind, wala sikugeuka nyuma nikajisemea moyoni imekula kwenu.

Jamani walisema wadau mjini ni shule kwahiyo hakikisha mda wote unavaa unifomu madaftari utayakuta huko huko.

Ni hayo tu!
Siku nyingine kitendo cha kusogea kwenye gari tu, utajikuta ushatekwa.
 
Sidhani kama hao wadada ni matapeli, tunakimbilia sana kuita watu matapeli bila kuhakikisha hao ni wauza simu tu hio ni strategies wanazotumia kwenye sells zao ni vyema ungesikiliza mpaka mwisho ndio uhitimishe.

Bilashaka hao wadada wanakaaga pale sanamu la askari na gari Lao.
Any ways unaweza kuwa sahihi siwezi kukupinga moja Kwa Moja,nilikutana nao baada ya ile sheli ya posta mpya ukitokea crdb bank

Ila lolote lawezekana chief
 
Back
Top Bottom