Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Nikasikia Bonge la Msonyo nyuma yangu

Achana nae huyo jamaa analeta ujuaji wa fb humu
Angalia niko hapa jamvini tangu lini kabla hujasema ujuaji wa FB. Mimi siyo limbukeni wa mijadala na forum za kwenye internet. Nimekuwepo tangu kipindi cha MySpace. Hili suala la kupumbuzwa tumeshalijadili sana hapa na huwa linakuwa na ubishani mkubwa. Pia kuna lile jingine la wezi kupuliza dawa ya usingizi dirishani na watu wanashauri ukitaka kujikinga eti lala na container lenye maji ndani! Pengine ni mjadala mpya kwako lakini siyo kwangu. Ni kitu ambacho nimekichunguza kwa kina na sikurupiki.
 
Back
Top Bottom