Niki Mbishi:Tamasha la wasafi la mwaka huu halina mvuto wala msisimko kabisa huu ni ukweli.

mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,
Nikki mbishi na undugu na joh makini wapi na wapi?
 
nikki ana stress, wamembania show ya castle lite, fiesta hagusi, wasafi mwaka huu pia anagonga deshi, album yake watu hawanunui kwa wingi na wasanii wenzie hawampi sapoti aisee inauma. Jamaa hachoki kulalamika kule twitter hadi huruma.
Tatizo the guy he is too really hawezi kufake ndiyo maana wanamkazia kiufupi napenda lifestyle yake na Nina support kazi zake I appreciate what he did.
 
mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,
Angekua hana bifu na joh makin asinge mdisi

Wazee wa nusu nusu wamebaki nusu lita, na kuhusu kunusurika hilo wasahau kabisa
 
Angekua hana bifu na joh makin asinge mdisi

Wazee wa nusu nusu wamebaki nusu lita, na kuhusu kunusurika hilo wasahau kabisa
Oya ivi ni ngoma gani kuna msitari jamaa anachana nasinzia nilikiwaza nameless embu nipe jina la hiyo ngoma
 
Nick is one veeery average MC ambae ana inda na uchungu mwingi moyoni akiona kitu chochote kikubwa kinatokea na hakimuhusu.Na hii kwasababu anajiona mkubwa sana kuliko uhalisia wa alivyo.Ndio maana anagombana na kila mtu.
Wa kawaida sana sana...ila anajiona mkaaaali.Mshamba mmoja kutoka "kanda maalum".
 
Oya ivi ni ngoma gani kuna msitari jamaa anachana nasinzia nilikiwaza nameless embu nipe jina la hiyo ngoma
Nasinzia nikikuwaza, nameless/
Sista duu simu nakukatia nikikukaza, you blainless/

Aisee nimeisahau jina la hiyo ngoma nikikumbuka ntaku tag mkuu
 
Nikki mbishi na daima sitabadili,
salamu ziwafikie wanaosema jina la pili,
linaniponza uzuri haina nongwa,
hii ni safi haifungiwi ata na Juliana shonza,
Uzembe kwenye kazi huwa siruhusu/

Kama mpo makini why mpate nusu nusu?/
 
nikki ana stress, wamembania show ya castle lite, fiesta hagusi, wasafi mwaka huu pia anagonga deshi, album yake watu hawanunui kwa wingi na wasanii wenzie hawampi sapoti aisee inauma. Jamaa hachoki kulalamika kule twitter hadi huruma.
sio kabaniwa bali mziki anaofanya ni mzuri ila wateja wake ni masela oya-oya hata shoo hawaingii, CD hawanunui.
 
Oyaaaa mwana huyu ni niki mbishi na sio niki wa pili
mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,
 
Umeelewa kilichoandikwa? Unakielewa ulichokiandika? Nikijua kimoja kati ya hivyo viwili basi takuwa nimekuelewa.
Wajomba nilizidisha kipimo kinachotakiwa,,
 
Huyu jamaa hana nidham kitu ambacho ni muhimu kwa msanii hivi kukaa kimya angepungukiwa nini wakupuuzwa tu huyu huyu ni kama wakina nash mc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…