Niki Mbishi:Tamasha la wasafi la mwaka huu halina mvuto wala msisimko kabisa huu ni ukweli.

Niki Mbishi:Tamasha la wasafi la mwaka huu halina mvuto wala msisimko kabisa huu ni ukweli.

Kuna ukweli ndani yake

Kama fiesta tu
 
0


[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ingekuwa sumu mapema tungebadili jina
,nilienda chooni kukojoa kumbe ni kaunta,aisee mabaunsa walitaka kuondoka nafsi,
 
mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,
Bro umechanganya watu Niki wa pili ndio ndugu wa Joh ila Niki mbishi hawana undugu kabisa
 
Nick is one veeery average MC ambae ana inda na uchungu mwingi moyoni akiona kitu chochote kikubwa kinatokea na hakimuhusu.Na hii kwasababu anajiona mkubwa sana kuliko uhalisia wa alivyo.Ndio maana anagombana na kila mtu.
Wa kawaida sana sana...ila anajiona mkaaaali.Mshamba mmoja kutoka "kanda maalum".
mtazamo wako huo fuvck fake nigger
 
Angekuwepo kwenye list ya wanamuziki watakaoimba asingeyaongea haya
[emoji23] na wewe upo humu unaijua lakini sifa ya wana hip hop ?

hatuogagi na pia hatunuki[emoji23]
 
Nikki mbishi ni mtu mshenzi sana kuwahi kutokea..
Jamaa hanaga rafiki... leo anaweza kutukana mtu mkamchekea kesho anakugeukia wewe unayemchekea.
Tatizo lake kubwa yeye huwa yuko right siku zote..
Kagombama na clouds ,kagombana na weusi , kagombana na rafiki yake kipenzi wakazi
Wakazi ni mnafiki haiwezekani muitwe show moja alafu uwe dalali wa mwenzio kuwa analipwa bei gani huo ni udada
 
Back
Top Bottom