Niki Mbishi:Tamasha la wasafi la mwaka huu halina mvuto wala msisimko kabisa huu ni ukweli.

Wasalaam
Msanii wa muziki wa kufoka foka bwana Niki Mbishi akihojiwa na moja ya chombo cha habari aliulizwa mbona mwaka huu hajapata show yeyote ile hata kwenye tamasha la wasafi kama mwaka jana ? Msanii Niki mbishi alihamaki na kusema hajui kwanini yeye hajapewa show lakini aliendelea mbele na kusema waandaji wa Tamasha la wasafi wanatakiwa kujipanga kwani tamasha halina amsha amsha na wala halina mvuto kama mwaka jana walipokuwa kwenye tour..

Lakini mtangazaji alimuuliza mbona muamko unaonekana na watu wanajaa kila show na wadhamini wana miminika kuliko tamasha lolote maana hadi sasa lina wadhamini zaidi ya sita ....Nikki mbishi alijibu kwa kusema lakini ukweli ni kwamba tamasha halina mvuto na amsha amsha kama kipindi cha mwaka jana.....

Ni kweli Nikki mbishi anasema kweli?
Katumwa
 
Nikki mbishi ni mtu mshenzi sana kuwahi kutokea..
Jamaa hanaga rafiki... leo anaweza kutukana mtu mkamchekea kesho anakugeukia wewe unayemchekea.
Tatizo lake kubwa yeye huwa yuko right siku zote..
Kagombama na clouds ,kagombana na weusi , kagombana na rafiki yake kipenzi wakazi
 
Tatizo the guy he is too really hawezi kufake ndiyo maana wanamkazia kiufupi napenda lifestyle yake na Nina support kazi zake I appreciate what he did.
Jamaa ni mpuuzi tu..
Katika hii dunia huwezi kukubaliana na kila mtu lakini haimaanishi unapotofautiana na mtu uanze kummwagia mapovu karibia post zaidi ya 10. Huo sio ubinadamu..

Sometimes hata kuwapuuza watu wenye idea tofauti na wewe ni busara..
Lakini tukisema tuchukulie definition ya kuwa real kwa kuwachana kila tunaotofautiana hapo tunakosea..

Jamaa kaanza kuwachana clouds tukasema labda mshkaji anaonewa kweli.. mara kaanza kuwaatack weusi especially nikki wa pili..
At that time best friend wake alikua wakazi.
Sasa castle wakamtema kwenye dili lao wakazi akaenda jamaa akaanza kumdiss na wakazi hadharani.
Leo wasafi hawajamchukua kwenye tamasha lao anaanza kusema halina mvuto.

Huyu jamaa ajiangalie sana ...kwa nini kila mtu ni mbaya kwake tu??
Na hao ni mfano mdogo tu...jamaa alishakosana na wasanii wengi sanaa
 
mwambie kwanza aache kubebwa na ndugu yake joh makini,,
Asimame yy kama yy tumuone pumzi yake kama atachukua raundi,
Umeingia mrango wa kutokea... Nikki Mbishi sio Nikki wa Pili wa Joh Makini
 
Jamaa ni mpuuzi tu..
Katika hii dunia huwezi kukubaliana na kila mtu lakini haimaanishi unapotofautiana na mtu uanze kummwagia mapovu karibia post zaidi ya 10. Huo sio ubinadamu..

Sometimes hata kuwapuuza watu wenye idea tofauti na wewe ni busara..
Lakini tukisema tuchukulie definition ya kuwa real kwa kuwachana kila tunaotofautiana hapo tunakosea..

Jamaa kaanza kuwachana clouds tukasema labda mshkaji anaonewa kweli.. mara kaanza kuwaatack weusi especially nikki mbishi..
At that time best friend wake alikua wakazi.
Sasa castle wakamtema kwenye dili lao wakazi akaenda jamaa akaanza kumdiss na wakazi hadharani.
Leo wasafi hawajamchukua kwenye tamasha lao anaanza kusema halina mvuto.

Huyu jamaa ajiangalie sana ...kwa nini kila mtu ni mbaya kwake tu??
Na hao ni mfano mdogo tu...jamaa alishakosana na wasanii wengi sanaa
Umemaliza kila kitu
 
Post yake instagram

"Chama la wana/
Limetusaliti na kuwa chama lawama/
Wengine wanadiriki kupanga njama kuhama/
Wanadai eti mashavu yanatoka kwa kujuana/
-UNJU
2019.
 
Huyu jamaa hana nidham kitu ambacho ni muhimu kwa msanii hivi kukaa kimya angepungukiwa nini wakupuuzwa tu huyu huyu ni kama wakina nash mc

Jamaa ni mjuaji sana
 
Nikki mbishi ni mtu mshenzi sana kuwahi kutokea..
Jamaa hanaga rafiki... leo anaweza kutukana mtu mkamchekea kesho anakugeukia wewe unayemchekea.
Tatizo lake kubwa yeye huwa yuko right siku zote..
Kagombama na clouds ,kagombana na weusi , kagombana na rafiki yake kipenzi wakazi

Kila mtu ni mbaya kwake ....
 
Post yake instagram

"Chama la wana/
Limetusaliti na kuwa chama lawama/
Wengine wanadiriki kupanga njama kuhama/
Wanadai eti mashavu yanatoka kwa kujuana/
-UNJU
2019.

Jamaaa ana hitaji msaada
 
Anafoka foka nini Mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Kweli hii ni JF great thinkers. Huwezi kufikiria mtu atakuja na swali chokozi kengine kabisa ktk kipengere husika
 
nikki ana stress, wamembania show ya castle lite, fiesta hagusi, wasafi mwaka huu pia anagonga deshi, album yake watu hawanunui kwa wingi na wasanii wenzie hawampi sapoti aisee inauma. Jamaa hachoki kulalamika kule twitter hadi huruma.
Huyu na yule anaemsifia demu wake kwamba mkali kuliko wote,wakoje?
 
Ushaambiwa jina lake Mbishi, we ukitaka kubishana nae utajipotezea muda bure.
 
Jamaa ni mpuuzi tu..
Katika hii dunia huwezi kukubaliana na kila mtu lakini haimaanishi unapotofautiana na mtu uanze kummwagia mapovu karibia post zaidi ya 10. Huo sio ubinadamu..

Sometimes hata kuwapuuza watu wenye idea tofauti na wewe ni busara..
Lakini tukisema tuchukulie definition ya kuwa real kwa kuwachana kila tunaotofautiana hapo tunakosea..

Jamaa kaanza kuwachana clouds tukasema labda mshkaji anaonewa kweli.. mara kaanza kuwaatack weusi especially nikki wa pili..
At that time best friend wake alikua wakazi.
Sasa castle wakamtema kwenye dili lao wakazi akaenda jamaa akaanza kumdiss na wakazi hadharani.
Leo wasafi hawajamchukua kwenye tamasha lao anaanza kusema halina mvuto.

Huyu jamaa ajiangalie sana ...kwa nini kila mtu ni mbaya kwake tu??
Na hao ni mfano mdogo tu...jamaa alishakosana na wasanii wengi sanaa
Analeta attitude za maemcee wa miaka 1995
 
Back
Top Bottom