Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

MANAGER DOCTOR WENGER

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2026
Posts
202
Reaction score
304
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.

Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.

Screenshot_20260425-111502.jpg
 
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.

Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.

View attachment 3579181

WEWE MKEWE UNAWASUTA WABAYA WAKO. HAYO MNGEONGELEA HUKO JIKONI. SISI WENGINE HATUJUI KITU.
 
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.

Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.

View attachment 3579181
Mbona hana furaha
 
Yaani waja kwa kupenda mambo yawaendee wenzao ndivyo sivyo dah! Mlisema sio mwanae haya jana kapost kumuwish mwanaye birthday njema bado mnasema kitanda hakizai haramu ilimradi tu mlete taharuki kwenye amani ya watu, mnahukumu mna uhakika wale mlioambiwa ni baba zenu ni kweli ni baba zenu? Na wengine mama zenu wamewazaa 6 na baba zenu wako 6 lakini bado mko humu kuwanyooshea vidole na kuwatabiria mabaya watu wengine. Na kama mnashadidia mzazi mwenzie Nick alizaa na mwanaume mwengine, nyie ndiyo mnataka mumzalie Nick mtoto halali damu yake? Siku mkiona wamerudiana wako vizuri na mama mtoto wake sjui mtaweka wapi sura zenu maana mnaonakena kufurahia magumu ya watu sana. Acheni roho mbaya
 
Back
Top Bottom