Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

Shida ni Nikki mwenyewe rejea aliyokua anayaandika mtandaoni baada ya kuanza kutoka na hio manzi ni ilikua kufuru yaan alimkufuru mpaka Mungu kwa sababu ya hio manzi chariangu ushaelewa arifu
Hakunaga charii...sawa aliandika sasa mbona waja wafurahiiiie utafikiri wanenda kushika nafasi ya huyo dada? Afu mbona wanaume? Haya! Baada ya kuandika yoote yale Nick aliwahi kuwaambia mtoto si wake?
 
Wanaume siku hizi wamekuwa wambea kutuzidi wanawake..!!
Sasa mtu anaforce mtoto sio wake utasema yeye ndo alilala naye..!! Huzuni tupu
Yaan mwanaume anafuhiaje jambo kama hilo utafikiri ile nafasi anaitaka khaa
 
Wampe DC awafumue wamzalie mtoto halali..!!
Ama kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafuta
 
Ama kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafuta
😹😹😹😹 ndo hawa nao wanakoelekea huko..!!
 
Nachoka sana na watz wenzangu! Unakuta tena ni wanaume ndo front line kuvuruga, sa huwa najiuliza mwanaume kama huyu anahukumu na kufurahia anguko na ndoa ya mtu au mahusiano anaitaka ile nafasi? Au ndo kusema kila lokole ni wengi kuliko wanaume tunaozaa sisi kina mama jamani nikifika hapa nachoka mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom