MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
Dc ni bachelor bhana 😅 hana familyMtoto mzuri kama jina lake ZURI na wazazi wake wazuri 🥰🥰
Mungu azidi kuwatunza familia ya Nikki
Inabidi Na sisi tufanye mpango tupate kama Hako kazuri 😎Mtoto mzuri kama jina lake ZURI na wazazi wake wazuri 🥰🥰
Mungu azidi kuwatunza familia ya Nikki
Mkuu hapa tunaongelea bachelor au mtoto wake waliosema si wakeDc ni bachelor bhana 😅 hana family
Hawaja rudiana ameenda kumuona mwanae tu kwa ajili ya happy birthdayNa huyo dem hayuko naye kwenye mahusiano tena? Au ilikuwa uzushi pia?
SafiiiHawaja rudiana ameenda kumuona mwanae tu kwa ajili ya happy birthday
Niki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.
Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
View attachment 3579181
momy tupostie nawewe wakwakoMtoto mzuri kama jina lake ZURI na wazazi wake wazuri 🥰🥰
Mungu azidi kuwatunza familia ya Nikki
Mbona hana furahaNiki ameshow love kwa Binti yake zuri, nakum wish happy birthday, wale mnaosema kachapiwa mtafuteni aliemchapia nick wa pili aende akamchukue mwanae.
Wabongo bhana kwa kukuza, wape picha maneno wanayo, jamaa YUKO na mwanae na alie kuwa mpenzi wake na maisha yanaendelea watu kimya.
View attachment 3579181
Inaumaaa sanaa......anyway tujifunze maisha yasonge ila inaumaKitanda hakizai haramu ,pisha kombe mwanaharamu apite.