Niki wa Pili ameshow love kwa Binti yake mzuri

Na kama mnashadidia mzazi mwenzie Nick alizaa na mwanaume mwengine, nyie ndiyo mnataka mumzalie Nick mtoto halali damu yake?
Uzi ufungwe 😹😹😹
 
Uzi ufungwe 😹😹😹
Nachoka sana na watz wenzangu! Unakuta tena ni wanaume ndo front line kuvuruga, sa huwa najiuliza mwanaume kama huyu anahukumu na kufurahia anguko na ndoa ya mtu au mahusiano anaitaka ile nafasi? Au ndo kusema kila lokole ni wengi kuliko wanaume tunaozaa sisi kina mama jamani nikifika hapa nachoka mimi
 
Wanaume siku hizi wamekuwa wambea kutuzidi wanawake..!!
Sasa mtu anaforce mtoto sio wake utasema yeye ndo alilala naye..!! Huzuni tupu
 
Shida ni Nikki mwenyewe rejea aliyokua anayaandika mtandaoni baada ya kuanza kutoka na hio manzi ni ilikua kufuru yaan alimkufuru mpaka Mungu kwa sababu ya hio manzi chariangu ushaelewa arifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…