Hakunaga charii...sawa aliandika sasa mbona waja wafurahiiiie utafikiri wanenda kushika nafasi ya huyo dada? Afu mbona wanaume? Haya! Baada ya kuandika yoote yale Nick aliwahi kuwaambia mtoto si wake?Shida ni Nikki mwenyewe rejea aliyokua anayaandika mtandaoni baada ya kuanza kutoka na hio manzi ni ilikua kufuru yaan alimkufuru mpaka Mungu kwa sababu ya hio manzi chariangu ushaelewa arifu
Yaan mwanaume anafuhiaje jambo kama hilo utafikiri ile nafasi anaitaka khaaWanaume siku hizi wamekuwa wambea kutuzidi wanawake..!!
Sasa mtu anaforce mtoto sio wake utasema yeye ndo alilala naye..!! Huzuni tupu
Wampe DC awafumue wamzalie mtoto halali..!!Yaan mwanaume anafuhiaje jambo kama hilo utafikiri ile nafasi anaitaka khaa
Ama kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafutaWampe DC awafumue wamzalie mtoto halali..!!
Wanawake shida tupuAma kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafuta
😹😹😹😹 ndo hawa nao wanakoelekea huko..!!Ama kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafuta
Bora wanawake! Wengi ni wanaùmeWanawake shida tupu
Ushaolewa au bado tuje tukutolee posa mkuu?Bora wanawake! Wengi ni wanaùme
Hakika kabisaaMtoto mzuri kama jina lake ZURI na wazazi wake wazuri [emoji3059][emoji3059]
Mungu azidi kuwatunza familia ya Nikki
[emoji23][emoji23][emoji23]Nachoka sana na watz wenzangu! Unakuta tena ni wanaume ndo front line kuvuruga, sa huwa najiuliza mwanaume kama huyu anahukumu na kufurahia anguko na ndoa ya mtu au mahusiano anaitaka ile nafasi? Au ndo kusema kila lokole ni wengi kuliko wanaume tunaozaa sisi kina mama jamani nikifika hapa nachoka mimi
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume siku hizi wamekuwa wambea kutuzidi wanawake..!!
Sasa mtu anaforce mtoto sio wake utasema yeye ndo alilala naye..!! Huzuni tupu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ama kwa hakika ndicho wanatafuta, watu walijiuliza juu ya hasama za lokole kwa mademu wa domo zinatokea wapi mwishowe si kajionesha hazarani kweupeee, labda na hao ndicho kitu wanatafuta
😀Hakika kabisaa