Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Jamaa ana akili sana,hata ukisikiliza mistari yake ni habari nyingine...
 
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?

Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
9b60f8844ec111e381ef125a95a1c163_8.jpg
 
Back
Top Bottom