Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phd ya sanaa
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?
masters kasoma udsm ana mba....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa lol
![]()
nibemendeeee........
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
![]()
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
![]()
Ahhhhhj kamalizane naye
Hongera zake, hapo kwenye picha ndio yupi? Heaven on Earth!
Ninavyo jua dogo anaenda kusoma master sio phd..mtoa mada kajipangee
weee Niki hajasoma Community development...,
alisoma class moja na sister angu so I know....