TIKO TRICKS
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 185
- 90
kwani si yeye na nyie kasomeni basi kama ni rahic kama mnavyovikiria
jamaa ni conscious sana mpaka raha wangepatikana wasanii 10 kama yeye mziki ungefika mbali
Itakuwa ni maajabu kutoka degree ya sociology moja kwa moja hadi p.h.d.
hapo ni masterz
Digrii ya kwanza kasoma Socilogy UDSM, Masters ya Development Management UDSM, na anaendelea na PHD hapo hapo UDSM kwenye maswala ya Usimamizi wa maendeleo, anaadika Thesis in Monitoring n evaluation.
Si nilikupa homework utafute alichokua anafanya mchizi kupitia taasisi yake,kumbe bado na unakomaa tu eti angefanya kazi hata mwaka mmoja? Hebu ingia bongo five usome ,usiwe mvivu kaka
Hii first degree, sociology.
Mama mzazi,,Mungu tena?
Hv wewe ni olevel nini....????? au unajibu text ukiwa baa...
Unahisi kuumwa na nini na wapi panapokuuma!
Ndo huyu?Anakufaa aisee.Sema naye!Mrejesho muhimu lakini...!
Wivu tu unawasumbua. Mtu hajaja kukuomba Ada na wala humsaidii kwa lolote halafu unapiga majungu tu. Mnajipa stress za bure na mwishowe mnapata BP na Ulcers bure
Au GPA yake ilikuwa ndogo.. Maana kuwa na masters angekuwa hata assistant lecturer hv......
Anyway.. Ningepata nafasi ningemwuliza nick wa II why asibadilishe chuo au anaogopa kufeli?? tehhhhh
Fanya hivi, mimi ni mvivu na homework sijafanya.Niambie basi hiyo taasisi kwa manufaa yangu na wanajamii wengine wenye kiu na shauku kama yangu na ambao wavivu kama mimi.
Vaa miwani mkuuYaani huyo jamaa duh! Mshamba kama kikwete. Degree kelele, MBA kelele na PHD kelele kwani akisoma kimya kimya bila kutangaza inakuwaje? Mwana fa alianza hivi hivi, now ni mavi tu. Achague moja banah!
mkuu acha kuwa serious na hawa wanafki.. ww fanya yako kutimiza malengo yako.