Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

kwani si yeye na nyie kasomeni basi kama ni rahic kama mnavyovikiria

Hizo vitu kabla sijaingia chuo niliwapima familia na ndugu kuwa nataka nikasome hizo elimu rahisi za viroba vya konyagi...ni kaambiwa na familia r u a gay??? Sa ukimaliza chuo utagawa nn upate kazi??... Si bora ukasome muziki labda utapiga kinanda japo kanisani ama utampigia majani gitaa!

Siwezi kumsifu mwanaume mwenzangu alosoma hizo vitu..
 
Digrii ya kwanza kasoma Socilogy UDSM, Masters ya Development Management UDSM, na anaendelea na PHD hapo hapo UDSM kwenye maswala ya Usimamizi wa maendeleo, anaadika Thesis in Monitoring n evaluation.

Au GPA yake ilikuwa ndogo.. Maana kuwa na masters angekuwa hata assistant lecturer hv......

Anyway.. Ningepata nafasi ningemwuliza nick wa II why asibadilishe chuo au anaogopa kufeli?? tehhhhh
 
Si nilikupa homework utafute alichokua anafanya mchizi kupitia taasisi yake,kumbe bado na unakomaa tu eti angefanya kazi hata mwaka mmoja? Hebu ingia bongo five usome ,usiwe mvivu kaka

Fanya hivi, mimi ni mvivu na homework sijafanya.Niambie basi hiyo taasisi kwa manufaa yangu na wanajamii wengine wenye kiu na shauku kama yangu na ambao wavivu kama mimi.
 
Yaani huyo jamaa duh! Mshamba kama kikwete. Degree kelele, MBA kelele na PHD kelele kwani akisoma kimya kimya bila kutangaza inakuwaje? Mwana fa alianza hivi hivi, now ni mavi tu. Achague moja banah!
 
Wivu tu unawasumbua. Mtu hajaja kukuomba Ada na wala humsaidii kwa lolote halafu unapiga majungu tu. Mnajipa stress za bure na mwishowe mnapata BP na Ulcers bure

Ni kweli wamwache asome kwa raha zake kama walikimbia umande shauri zao wamafikiri elimu ni makalio kila.mtu.anayo na wengi wanaponda ukute hawajawahi kufika hata chuo hamna degree mbaya wala nzuri hamjui mziki wa chuo kuanzia presentation big up Nick mwenyewe lazima niunge kusoma nyie kalieni kuponda mwenzenu ana chanja mbuga
 
Au GPA yake ilikuwa ndogo.. Maana kuwa na masters angekuwa hata assistant lecturer hv......

Anyway.. Ningepata nafasi ningemwuliza nick wa II why asibadilishe chuo au anaogopa kufeli?? tehhhhh

Mipango tu kaamua kwanza awe nayo yeye ajataka kuajiriwa shule first
 
Yaani huyo jamaa duh! Mshamba kama kikwete. Degree kelele, MBA kelele na PHD kelele kwani akisoma kimya kimya bila kutangaza inakuwaje? Mwana fa alianza hivi hivi, now ni mavi tu. Achague moja banah!
Vaa miwani mkuu
 
mkuu acha kuwa serious na hawa wanafki.. ww fanya yako kutimiza malengo yako.

Sawa mkuu ni kuwa tu jamaa kanikwaza sana sijui yeye hajafika chuo ??ama kama alifika alipataje hyo nafasi ??sijui ndio wale wa kwenda kuchukua fomu elfu hamsini 50000 chuo na ku-apply afu bado unakosa??? sijui kinamuuma kwakua sisi tunatumia gharama pungufu???,sijajua yani mkuu.
 
Back
Top Bottom