Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Hahahahaha...apanik nani...ain't wasting no Shit hapa..hoja ya nini mie nshamaliza...hayo mengine yako..


U can take it or leave it.......

Next time choose ya words careful.., hujamaliza hoja umeishiwa hoja ukashindwa ku stick kwenye mada ukaanza kukimbilia kufananishwa wakati hakuna aliefika huko.
 
U can take it or leave it.......

Next time choose ya words careful.., hujamaliza hoja umeishiwa hoja ukashindwa ku stick kwenye mada ukaanza kukimbilia kufananishwa wakati hakuna aliefika huko.

Hahaha hiki ni kituko you sound as if nilikua nakulilia kua umenifananisha...and who the ---- are you kunipangia cha kuandika...hahahah eti next time I choose my words careful ushakua mwalimu wangu tena hahahah..sijaishiwa hoja mama ila ndo nimeamka sina mood za kuargue especially with any random bitch hapa jf.niko busy na mengine...relax boo...nshasahau hata hio main topic unless una personal issues ila nshamalizana na huyo bibi mwingine hapo juu so na wewe hatuna haja ya muendelezo..pita kule nipite huku..cheers pia
 

Ulikandia essay we umeandika gazeti...

Personal issue... sikujui hunijui nakuaje na personal issues na wewe??? hahaaaa kwaheri AM DONE.
 
yaani mi hata siwaelewi
yaani wanamponda mtu anasoma
mi mtu mwenye kupenda shule namuadmire hasa mwanamuziki

Mkuu usiwaze. Wanaomponda NW2 yameshawashinda ya kwao. Yani mtu kusoma PhD wanaponda?! Eti ya kike! As if hawana mama.......

Eti NW2 akafanye kazi kwanza. Kum..... zao. Hivi mziki anaoimba ni makida yale? Vijana kibao wamekubali mziki wa Weusi Nikki akiwamo. Ss awakomboe vp zaidi vijana? Hv mimtu mingine ya wapi?

Eti haendani na mashairi anayoimba. Hivi Prof. J aliwah kupata zali la mentali?!

Nahisi anaepondwa si Nikki. Kuna vibifu watu wanajarb kuonyeshana. Nw2 ni wa ukwee sana.

BIG UP Dr. Nikki 🙂
 
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.

Njoon huku tupambane.....

Happens hao wa hizo 'kozi rahisi' ndo watawala huku kwenye kata, etc. ukiishamaliza hayo 'magumu' usomayo, ipo siku utahitaji huduma yao sana, na hutakua na uchaguzi.

Kila elimu ina manufaa. Kwa mwenye nayo na jamii yake. Iwe rahisi au ngumu.

Kwani ulilazmishwa usome kozi ngumu bibie? Au, kuna mashindano kusoma vitu 'vigumu' Nw2 kajiamulia awezacho. Tumuache awakilishe usomi kwenye muziki wa BF
 

By extension, wenye degree na equivalent kwenda mbele, kwa hesabu yangu isiyo rasmi hawazidi milioni 2. Ktk nchi ya watu milioni 45!!

Then mtu mzima GT anapata guts kudhihaki PhD ya mwingine. Mi huwa kuna vitu sivielewi. Mtu afanye lipi liwe jema?
 
Go nikki go natamani uwe hadi Profesa natumaini una ndoto hiyo... what a Pride.. Profesa wa Kwanza wa Bongo Flavour... keep it up bro waache Waliochemka Miaka minne Coet na kazi hawana kujiajiri hawawezi na wale waliokosa elimu ya chuo kwa kukosa vigezo vya boom waendelee ku hate.
 
By extension, wenye degree na equivalent kwenda mbele, kwa hesabu yangu isiyo rasmi hawazidi milioni 2. Ktk nchi ya watu milioni 45!!

Then mtu mzima GT anapata guts kudhihaki PhD ya mwingine. Mi huwa kuna vitu sivielewi. Mtu afanye lipi liwe jema?

Waache hao Wivu tu kwani hujui PhD heshima bana hata iwe ya Kiswahili.. hata mtoto wako anafeel pride kuwa na mzazi msomi.. waache waendelee kujisifia wana kozi ngumu mfukoni hawana kitu..
 
Usirudie kumfananisha Niki na Nyerere. Nyerere elimu imemsaidia, niki elimu haijamsaidia mpaka leo ndio maana anaangaika angaika.

Hivi Nyerere akitafuta maisha hakuhangaika? Ni kweli wote mmeamua kujitoa udahamu ili murad mnamponda Nw2? Aibu na iwe juu yenu!
 
Sasa hiyo development studies iko applicable wapi wewe? kubali ukatae kozi zingine ni za kike tu Sociology wadada kibao wamejaa, vitu vingine kusomea ni complete wastage of time tuu

Just curious, we ulisomea ipi? Wapi? Lini?
 
Nafanyia application mahakamani nikiwa nimetinga suti..pembeni nimepaki Fortuner...yenye 22 inches rim...black tinted windows with custom leather seat...whatchu say...??

Hivi lini law iliacha kuwa 'ungwini'? Kumbe we walewale tu! Ona majigambo uliweka hapo! Una tofauti gani na Nw2?

Oh, nimejua. Wewe elimu haijakusaidia. Nw2 is miles ahead. We kokota li-fortuner lako D4 na tinted. Muache Dr. Nikki alisongeshe. Na huyu dogo mtakoma come the appropriate Nikki time.
 
Smh.. unadharau wanaosomea ECDE kisa wanafundusha chekechea... no wonder kesho utaponda elimu ya bongo mbovu kwa kuzoea watoto wenu wafundishwe na form four failures maana ndio mnaona wana hadhi ya kufundisha watoto...

Mnafikra mgando badilikeni

I love you for this insight. Umenifungua jambo la msingi sana. Hivi atapeleka mwanae chekechea gani huyu? Watu bwana.......
 
Wacha tupige hela tu hiyo shule ipo tuu haiendi popote...suti ndo kuonesha jezi tunazopiga..tukiwa mzigoni...sasa nisiijue DS kwani sijaisoma? kibongo bongo Development Studies hamna kitu yani mara mia ingekua mbele kweli tungekubali

Law ina nini ukiacha pesa za laana? Mnavaa suti joto kali, eti attire. My foot! Infact km sio wakili, ulawyer ni hasara zaidi ya DS!
 
I love you for this insight. Umenifungua jambo la msingi sana. Hivi atapeleka mwanae chekechea gani huyu? Watu bwana.......

Haha nimemshangaa eti anaona ajabu mtu wa degree kufundisha chekechea.. hivi yupo dunia gani huyu... am sure hata form six hakufika na anatamani ndio maana anawaonea hasara walimu wa chekechea kuwa na degree..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…