Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Naskia kashapatika wa ukweli kwa jina la Sitti Mtemvu.

Nikki rocks...

We si ndo mbeba pochi wa sitti..lazima wote muwe mabibi tu...naona unatembea taratibu kitu kitingishike bibi na wewe mtata hataree
 
We si ndo mbeba pochi wa sitti..lazima wote muwe mabibi tu...naona unatembea taratibu kitu kitingishike bibi na wewe mtata hataree

Nikimskiza Nw2 na navyokusoma hapa, una kila 7bu kuchukia mafanikio ya Nikki. Mmetofautiana sana.

Nilidhani ukiwa na ilim isio ya 'kike' km yako ungekua na hoja zaidi na zenye nguvu na si kukimbilia 'gutter'...
 
Nikimskiza Nw2 na navyokusoma hapa, una kila 7bu kuchukia mafanikio ya Nikki. Mmetofautiana sana.

Nilidhani ukiwa na ilim isio ya 'kike' km yako ungekua na hoja zaidi na zenye nguvu na si kukimbilia 'gutter'...

Hahaha...kumbe unahitaji response yangu bahati mbaya u won't get it zaidi unapoteza muda hata..it is what it is.
Asa dada hayo maneno ndo unaona umeshusha elimu yangu😕😕....twende bana huku kwenye kibao kata bibi bomba wewe
Wacha kuniquote bana vipi wewe unahis ukihubiri hapa ndo utabadilisha mentality yangu ya sociology ni kozi ya kike???? Noo utakesha tu hapa bure...am entiltled to my opinion na wewe shika yako sio kunilazimisha niseme ka wewe???jf ni uwanja huru bibi weee...usikurupuke kuquote tu watu ka unasuguliwa huko...niwache mie nimalize jpili yangu kwa furaha..khaaaa😛😛
 
Eti mwanasheria anamponda Sociology kozi ya kike..smh huko Alevel kwenyewe ulisoma PCB au PCM ama?? Wanasheria wengi nao Combi zao ni hizohizo mnazo ziiita zakike H-Kunani HKL,HGL,KLF n.k leo hii unamshupalia Sosholoji lmaoooo !!! Nyani haoni kundule.... Kama una wivu Changanya Mattercore mavi yasigande.
 
As if unachofanya wewe kina maana...... mentality ya kwamba lazma uajiriwe Nw2 ndo anapingana nayo hasa. Na taratiiibu anaishinda

Oya kama wewe ndo nicky twakuchana live.
Acha ULOFA. Acha UOGA.
THERES IS MORE TO LIFE KULIKO ENDELEA RUNDIKA VYETI VISIVYO NA MAANA GETO.

PHD,, BADO UNARUKA JUKWAA MOJA NA AKINA NEY WALA BANGI.

NI BORA HATA UNGEFANYA POSTGRADUA DIP. YA SANAA .
UANZE FANYA MZIKI KISOMI,
ACHA UJINGA.
 
Oya kama wewe ndo nicky twakuchana live.
Acha ULOFA. Acha UOGA.
THERES IS MORE TO LIFE KULIKO ENDELEA RUNDIKA VYETI VISIVYO NA MAANA GETO...

Umesema vema. Ila unajua ninachokifkiria? Hv umeskiliza vzr muziki wangu? Yote kwa yote hata mkiloga mi nagonga PhD. Sisubr za kupewa kama 'da Gama' wenu!
 
Hhhha elimu yake inampa ninii sasa kusoma kote huko anauza tishet,hizo kozi nazo mmmhhh

Wewe na kusoma kwako umefanya nini zaidi ya kusubiri mshahara mwisho wa mwezi?? Shwaini kabisa. Nafikiri yeye anauza brand not just tshirts. Ingawa simfahamu lakini sometimes naona wabongo mnapenda tu kukandia watu. Ndio nyinyi MwanaFA alisema mnaita watu maskini wakati hamna hata ka laki
 
Uoga wa maisha anaoupiga vita kila siku.
 
Hongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.

Njoon huku tupambane.....
Yale yaleeee anayesoma hkl kilaza anayesoma pcb kichwaa!smh
 
Go go go nickyyyyy
hujui kiasi gani kuna watu unawainspire
mimi ni mmoja wapo
iwe ya kike ya kiume hongera sana
 
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.

Nilimsikia akitoa mada kwenye ule mkusanyio wa Wasanii Dodoma ambao Rais pia alikuwepo, ni mpuuzi katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…