brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
Sawa shosti. Ntajumuika. Ila shanga hapana shostito.... bikini sawa.
Go go go Nikki wa 2. PhD lazima.
Hahahahaha.....haya twende bibi bomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shosti. Ntajumuika. Ila shanga hapana shostito.... bikini sawa.
Go go go Nikki wa 2. PhD lazima.
Hahahahaha.....haya twende bibi bomba
Naskia kashapatika wa ukweli kwa jina la Sitti Mtemvu.
Nikki rocks...
We si ndo mbeba pochi wa sitti..lazima wote muwe mabibi tu...naona unatembea taratibu kitu kitingishike bibi na wewe mtata hataree
Nikimskiza Nw2 na navyokusoma hapa, una kila 7bu kuchukia mafanikio ya Nikki. Mmetofautiana sana.
Nilidhani ukiwa na ilim isio ya 'kike' km yako ungekua na hoja zaidi na zenye nguvu na si kukimbilia 'gutter'...
As if unachofanya wewe kina maana...... mentality ya kwamba lazma uajiriwe Nw2 ndo anapingana nayo hasa. Na taratiiibu anaishinda
Oya kama wewe ndo nicky twakuchana live.
Acha ULOFA. Acha UOGA.
THERES IS MORE TO LIFE KULIKO ENDELEA RUNDIKA VYETI VISIVYO NA MAANA GETO...
Hhhha elimu yake inampa ninii sasa kusoma kote huko anauza tishet,hizo kozi nazo mmmhhh
Alimaliza masters hapo udsm mwaka Jana David! Inawezekana ulikua busy kule siasani!
Yale yaleeee anayesoma hkl kilaza anayesoma pcb kichwaa!smhHongera zake......ila nakasirika sana wanaume kukimbilia course kama hizo wakati sisi mabinti tunakomaa na International Finance(IF), Corporate Finance(CA),Auditing,na mengineyo.
Njoon huku tupambane.....
Na aliwatoa povu wajinga kibaooooooooooBhaelezeeee no wonder watamponda hata Nyerere kuwa alisomea Ualimu
We unaejitambua una nini?
Soon ataitwa Dr.Nick wa pili.
Habari imekamilika hiyo,haina haja ya nyama.
Nilimsikia akitoa mada kwenye ule mkusanyio wa Wasanii Dodoma ambao Rais pia alikuwepo, ni mpuuzi katika ubora wake.