Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Digrii ya kwanza kasoma Socilogy UDSM, Masters ya Development Management UDSM, na anaendelea na PHD hapo hapo UDSM kwenye maswala ya Usimamizi wa maendeleo, anaadika Thesis in Monitoring n evaluation.
Hhhhaaaaa
Socilogy ndio digrii gani!!!!!!!!!
Thank you kwa ufafanuzi zaidi
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?
Hahaaa . HOE thanx mama nimeona nipo nafanyia kazi chapcha sana
kasoma master ya development managementMBA au master ya comm. Development??
Unahisi kuumwa na nini na wapi panapokuuma!Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
Ninavyo jua dogo anaenda kusoma master sio phd..mtoa mada kajipangee
Development studiesSorry, mtoa mada. PhD ya kitu gani?
Btw hongera zake kwa kila kitu
Kwani ukimaliza Masters ,unaenda tena kusoma masters tena au unaamua tu kubisha
Anasema a nataka kufundisha chuoAkimaliza hapo??
Anasema a nataka kufundisha chuo