Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Digrii ya kwanza kasoma Socilogy UDSM, Masters ya Development Management UDSM, na anaendelea na PHD hapo hapo UDSM kwenye maswala ya Usimamizi wa maendeleo, anaadika Thesis in Monitoring n evaluation.

Socilogy ndio digrii gani!!!!!!!!!

Thank you kwa ufafanuzi zaidi
 
Masters kasoma UDSM ana MBA....,
nampenda huyu kijana hadi nahisi kuumwa LOL
9b60f8844ec111e381ef125a95a1c163_8.jpg

acha uongo.
nick kasoma masters ya Development management
 
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?

Bachelor bilashaka ni Sociology ya pale UDSM.
Masters mtoa mada atueleze.
 
good for u buddy umeliona hili mapema na umeamua kulifanyia kazi...big up
 
tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.

Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.

Haoni kama anakiuka maneno yake.

He is not yet grown up.

SAD
 
Sitaki kazi ni wimbo tu...ni ushairi jamani haimaanishi ndo maisha ya mwanafasihi.
 
Back
Top Bottom