Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD


He is stupid. He insulted the crocodile before crossing the river..!!@?

Hahahaha!
 
Its a mavi degree how can u manage development???!!!.... Wakati we mwenyewe hujadevelop anakumanage peter mchomvu... Degree zingine zifutwe tu...

Anaimba hataki ajira wakati yeye analamba viatu vya Ruge.Mimi mtu namkubali ni Ruge yeye haangalii una digrii sijui ushuzi wa masters lazima umlambe viatu. Kama hataki ajira kweli angewaiga waakina Patrick Ngowi wenye digrii zao wanaoingia Forbes lakini hawamlambi mtu viatu zaidi ya mtaji aliopata kwa mama.
 
Eti sitaki kazi! Pumbaff?
Haelewi hapo anaporekodi verse zake yuko chini ya mtu.

PUUUNNNKKK..!!
 

Noted.

THANKS.
 
tatizo huyu dogo hajitambui,,
bado anajitafuta. Hajipati.

Ameimba hataki kazi, anataka kuwa boss ili aajiri watu.

Haoni kama anakiuka maneno yake.

He is not yet grown up.

SAD

Kwan ukisoma huwez kuwa boss!?
 
1.Bachelor yake ni ya nini na alisomea chuo gani na ya miaka mingapi? GPA? 2.Masters alisomea nini na miaka mingapi na chuo gani?
3.Hiyo PHD ya nini na anasomea chuo gani?

Bachelor(sociology UDSM)
Masters(communty & economic development UDSM)
PhD(" " " i hope ni UDSM)
 
Eti sitaki kazi! Pumbaff?
Haelewi hapo anaporekodi verse zake yuko chini ya mtu.

PUUUNNNKKK..!!

Msanii aliyeenda shule ni yule aliyeimba wimbo wake wa Rafael ilikuwa lafudhi ya kichagga ambaye ametusaidia watoto wetu kwa sasa kuangalia katuni kwa lafudhi ya kiswahili.
 
Kwa hiyo hata hujui nick alikua/anafanya nini na taasisi ipi hadi unaamua kuna na conclusion hiyo? Just Google utapata majibu yote

Kuna watu hawataki kabisa kusikia Nick anasoma Phd mara hajafanya kazi mara alishasema hataki kuajiriwa, guys kuweni wapole afanye kile ambacho anaona ni sahihi kwake kama umemaliza bachelor yako ukakimbilia ajira na mkopo wa gari and now its too late kurud shule mana wanao nao wanataka ada kodi nayo ni tatizo vitz nayo inataka mafuta kausha you chose that life usihamishie stress zako kwa watu acha asome hata akimaliza Phd akaendelea kuimba its oky for hime he is responsible for his life btw tutakuwa na mwanamuziki mwenye Phd is that not enough!?
Thumb up Nick
 
kwan ukisoma huwez kuwa boss!?

huenda wewe hukuelewa nicky alimaanisha nini ktk mistari yake,
alikua na lengo la kuwapa nguvu vijana wa mtaani ambao elimu haikua bahati yao

wawe na mawazo mapya kwamba hata kama hawana vyeti, bado wangeweza fanikiwa ktk maisha.


., sasa!!
Kuna vijana walisha amini maneno yale.
How come yeye atafute ma p.h mbuzi ambayo hayana hata maana.

Kwanini asingetumia masters yake kuwapanga vijana mtaani kutumia vipaji vyao.??

Umenielewa?
 

nimekujibu hapo. Think big. As long as HE IS PURSUING FURTHER STUDIES , HE IS STILL SUBJECTED TO SOMEBODY.

HE IS HYPOCRITE.
 

Like like like
 
Aiseee umenichekesha sana kwa hiyo ndicho anacho tafuta?

Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…