Niki wa Pili arudi shule kusomea PHD

Degree anazochukua hata uwe na ma phd hata 100 bado hakuna kitu,bora angechukua degree na phd za maana kama economics,accounts,IT etc
 

Tupo hapa jf kubadilishana mawazo, kupeana uzoefu na kukumbushana tu.
 
Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.

Anasomea sifa sio kumake pesa mim nikisoma sana ntakomea degree ova sitak menginee
 
Wivu tu unawasumbua. Mtu hajaja kukuomba Ada na wala humsaidii kwa lolote halafu unapiga majungu tu. Mnajipa stress za bure na mwishowe mnapata BP na Ulcers bure
 

We acha kutuzingua..tunalinganisha mistari yake na majingambo na upuuzi anaosomea...me nilijua atlist ana MBA hapo kidogo ningekubali anakitu kichwani tena cha kujivunia...kumbe community sijui socialogy..andelee tu kuimba...

mwambie kuna kazi ya afsa tarafa imetangazwa kama vp anitafute..naona ujobless unamfanye aote sana..maana kaota kawa tajiri kaota anaakili sana..labda ataweza kweli kumhudumia MANKA... majobless waotaji ndoto za mchana wenye vijisent vya kulakula wanasoma sana sikuizi...yani wanasoma kupotezea wakati wakati huo wanasubiri ajira...

Na si kwamba hapendi ajira alikata tamaa maana sociology lazima ugawe kitu..sasa ka we sio binti imekula kwako...utagawa nn ??? utaendelea kujishkiza kwenye elimu na usanii hadi kunakucha
 
Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.

Nani anauogopa u dokta maana siku hizi kuna ma dokta mpaka wanahongwa laki 2 kusaliti vyama vyao tena kwa M pesa.Wakati angeendika proposal zake za kuwezesha watu wake wa nchi yake kutoka daraja moja kwenda lingine angeweza pata zaidi ya hiyo.
 
Niki wa Pili.

Mfano : Msanii wa kwanza mwenye phd anaomba msaada wa fedha akapate matibabu Appolo India na Ikulu ipo busy kwa mambo ya kijamii kwa ujumla.Huo mfano nimetoa kwa ajili ya kuwakumbusha wasanii.Huu mfano haumuhusu mtu yeyote.
 
Degree anazochukua hata uwe na ma phd hata 100 bado hakuna kitu,bora angechukua degree na phd za maana kama economics,accounts,IT etc

Noted.

Huyu dogo kuna mahala anashauriwa vibaya.

Lakini tusimlaumu sana hata BACHELOR yake ni ya SOCIOLOGY.

SO., ndn uwezo wake.
Not to mention the GPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…