King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Degree anazochukua hata uwe na ma phd hata 100 bado hakuna kitu,bora angechukua degree na phd za maana kama economics,accounts,IT etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu hawataki kabisa kusikia Nick anasoma Phd mara hajafanya kazi mara alishasema hataki kuajiriwa, guys kuweni wapole afanye kile ambacho anaona ni sahihi kwake kama umemaliza bachelor yako ukakimbilia ajira na mkopo wa gari and now its too late kurud shule mana wanao nao wanataka ada kodi nayo ni tatizo vitz nayo inataka mafuta kausha you chose that life usihamishie stress zako kwa watu acha asome hata akimaliza Phd akaendelea kuimba its oky for hime he is responsible for his life btw tutakuwa na mwanamuziki mwenye Phd is that not enough!?
Thumb up Nick
Ndio wengi waliosoma sanaa wako hivyo wachache sana
Ndio maana yake anataka atishie tu wajinga coz Phd aina kazi yoyote mtaani, kama umeshindwa kuitumia masters usifikiri phd itakusaidia lolote. Phd ni elimu ya heshima ndio maana wengi uishia kufundisha.
Toa mfano hai

Tusichoshane kagoogle bana utapata majibu yote
Wivu tu unawasumbua. Mtu hajaja kukuomba Ada na wala humsaidii kwa lolote halafu unapiga majungu tu. Mnajipa stress za bure na mwishowe mnapata BP na Ulcers bure

Ishi kwa kukrem tu
Haya dada angu sikrem tena[/QUOT
Kwanini mmeleta habari humu, mmngeshare kama familia basi.
Niki wa Pili.
Poa sh....o...g..a