Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
asante tenaaa
niki somaaaaa
mwenye elimu mwenye elimu
anani inspire niongeze jiwe la pili
hata mi ntaitwa dk soon
hata km phd ya kuzoa taka ya kwako!!
Daah acha kabisa....
I wish you all the best....
Unaweza bahatisha kuokota dhahabu but kamwe huwezi bahatisha shule.....
Msomi na asiyesoma wanatenganisha na mstari Mnene Sana.....
Chezea title ya Dr.?? Hapanaaaa