Nikiacha Muziki nataka kuwa Waziri-Diamond

teh heh he! kumbe ule uropokaji wa nape, ndio umepelekea diamondo kujilinganisha nae! nape kapewa kama shukrani tu!
 
Kaona uwezo wa waziri aliyesasa na wake sawa tu big up nasibu yes you can!
 
ni ndoto kubwa na nzuri lakini ina changamoto na vigingi vingi sana kwa upande wake...akiamua kuacha mziki ni bora abaki kuwa mshauri tu mambo ya mziki,na aendelee kupika vipaji vichanga ktk taasisi yake ya WCB.
 
Ukitaka thread yako iwe na wachangiaji wengi, we andika chochote tu kuhusu huyu Diamond. Yaani we andika kichwa cha habari tu,"Diamond kasema hapendi kula matango". Utaona watu wanaanza kutoa mapovu kabla hawajasoma habari yenyewe.
 
Ukitaka thread yako iwe na wachangiaji wengi, we andika chochote tu kuhusu huyu Diamond. Yaani we andika kichwa cha habari tu,"Diamond kasema hapendi kula matango". Utaona watu wanaanza kutoa mapovu kabla hawajasoma habari yenyewe.
Ni kweli mkuu endapo utapost udaku.Mi binafsi sijawahi kumpost Diamond pasi na Ushaiidi fwatilia Thread zangu hapa celebrities. Ila pole kamaimekutachi.
 
Mimi nataka kuwa mchepuko wa waziri hapo baadae...
 
Hayo yaliishia enzi ya JK hapa msahau 2020 sifa zinabadilika na mbunge atakuwa mtu aliyeamua kutumikia umma tu
 
Acheni kumbeza Diamond. Kanye West tu alisema anataka kuwa raisi wa USA, Diamond kutaka uwaziri ndio mnamwona limbukeni.
 
Better to hv vision.....ila mond daaaaa ngumu kumeza hiii....
 
Ninachoipendea nchi yangu ni kwamba kila kitu kinawezeka ili mradi usiache kwenda kusalimiasalimia lumumba pale.
 
Kuna mwingine alihoji, nani mkali kati ya Diamond na Chris Brown.
 
Disneyland day dream..hahaha.,that's not video shooting bro!where you just choose the location..the issue your dreaming about is bigger and so complicated that the decider is not you!pole!
 

Miziziology + Powder = FAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…