Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu endapo utapost udaku.Mi binafsi sijawahi kumpost Diamond pasi na Ushaiidi fwatilia Thread zangu hapa celebrities. Ila pole kamaimekutachi.Ukitaka thread yako iwe na wachangiaji wengi, we andika chochote tu kuhusu huyu Diamond. Yaani we andika kichwa cha habari tu,"Diamond kasema hapendi kula matango". Utaona watu wanaanza kutoa mapovu kabla hawajasoma habari yenyewe.
Nimecheka sana !!! dahInawezekana kabisa kwa Tz,hakuna nchi rahisi kuongoza kama hii yetu tena hata jengo jeupe unaliweza maana pale Dom wapo kibao ambao hata hawajui wao ni akina nani.
Diamond Platnumz amesema akiachana na Muziki anataka kuwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fursa zaidi kwa vijana.
Akizungumza katika kipindi cha Papaso cha TBC FM,Diamond alisema kama akiingia kwenye Siasa basi nia yake ni kuwa Waziri wa Michezo.
"Kwa sasa hivi siasa bado ila nikiingia kwenye Siasa baadaye akimaliza mheshimiwa Nape nachukua mimi kile cheo cha Waziri wa Michezo",alisema.
"Kile nakiweza kabisa kwa sababu mimi ukiniambia sijui kuhusu mpira,movie mimi naweza kabisa nikiwa Waziri nikavifanya navikawa na maendeleo.In kitu ambacho naweza siyo nasema kuwa mbunge ila mimi nataka ile siku nimeacha kufanya muziki naingia kwenye Siasa basi.Na kuwa Waziri wa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na kuboresha vitu",alisema.
Diamond ambaye hakuweka wazi kwamba ataingia kwenye Siasa kupitia chama gani,mwaka jana katika kampeni za uchaguzi mkuu uliomuingiza rais Magufuli kwenye za CCM na kutengeneza wimbo pamoja na video.
Source.Bongo5.com