Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

Ukiambiwa na nani?

Uzi wa kipuuzi na umepuuzwa.
 
1. Kenya

2. Rwanda

3. Uganda

Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
sasa unapoulizwa uchague nchi 3 maana yake ni kwamba huanzi na nchi uliyozaliwa,sasa mimi ntachagua hivi:
1.namibia
2.cape verde
3.gambia
 
Back
Top Bottom