GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Apr 8, 2023 #1 1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Apr 9, 2023 #2 Ukiambiwa na nani? Uzi wa kipuuzi na umepuuzwa.
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Apr 9, 2023 #3 Bila shaka mleta uzi ni miongoni mwa wasiotajwa
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,617 Reaction score 8,244 Apr 9, 2023 #4 GENTAMYCINE said: 1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua. Click to expand... sasa unapoulizwa uchague nchi 3 maana yake ni kwamba huanzi na nchi uliyozaliwa,sasa mimi ntachagua hivi: 1.namibia 2.cape verde 3.gambia
GENTAMYCINE said: 1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua. Click to expand... sasa unapoulizwa uchague nchi 3 maana yake ni kwamba huanzi na nchi uliyozaliwa,sasa mimi ntachagua hivi: 1.namibia 2.cape verde 3.gambia