Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point broHabr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
KyaKamwe tusifuate njia potofu kudai haki.
Kumbuka hatujawafukuza wakoloni kabisa kabisa hasa huyo aitwaye marekani so usilaumu wapigania uhuruWapigania uhuru wengi wa africa walikua na ajenda zao binafsi na sio kuleta maendeleo ya kweli nchini mwao waliwadanganya wafrica wenzao wakatuingiza mkenge tukawafurusha wakoloni matokeo yake wametufikisha apa tulipo sasa.
😄😄😄😄😄arusha mara na mbeya wanaweza tatizo ni hiyo mikoa mingne ya ajabu ajabu
Huyo babu yenu alikua na kiherehere tu, huyo ndo katuset vibaya as a countryNa sisi Mara ndiyo tutalikomboa hili Taifa. Tuliwatoa kwenye Ukoloni wa watu weupe.
Nasasa tutawatoa, kwa hawa wakoloni weusi wasiojielewa.
Wewe uko kundi gani? Mara mbogamboga mara wa ufipa unakuja halafu unakataa.!!Hatuna amani tuna uoga
Sijawahi kushabikia chama chcht cha siasa na wala sijawahi kupiga kura.Wewe uko kundi gani? Mara mbogamboga mara wa ufipa unakuja halafu unakataa.!!
Ndio hivo mkuuUmeongea point bro
Ni kweli tubadilike ila tusiharibu amaniVijana na wenyewe wanatakiwa waamke kutoka usingizi wa pono! Watalala huo usingizi mpaka lini?
Arusha Mbeya Mara,Iringa na Mtwara ni potential for mass explotion. Hii mikoa inaweza kuwa chimbuko la maandamano makubwa km Kenya isipoangaliwa. Ni wazoevu wa resistence kitambo.Kenya maandamano ya pili hadi watu wazima wamejiunga na vijana kuandamana. Tz hakuna uzoefu wa kuandamana kibabe kama kenya. Mkuu wa mkoa akipiga mkwara asijitokeze mtu kuandamana atakabiliana na polisi, wote wanafyata mkia hakuna wa kuandamana
Wakenya wanaipenda sana nchi yao ndiyo sababu wanakerwa na hujuma wanazozifanya viongozi, wakenya wanataka waujue kila mkopo unaofanywa ni kwa ajili ya nini tofauti na sisi maradi unagharamiwa na pesa za ndani kisha mradi huohuo unakopewa pesa toka nje! Ukweli hatuipendi nchi yetu ndiyo sababu miradi mingi inahujumiwa na kufa tukiacha viongozi wanagawana hiyo miradi, viwanda vingi vimekufa bila sababu na miradi kama Udart imekufa huku tukiichekea kama vile si yetu. Huko Kenya ni vigumu kusikia kiwanda kimefungwa, viwanda vyao vingi vipo toka miaka ya 50 na vipo katika ubora mkubwa, kuna viwanda vya Kenya vilikuwepo hapa tukavibinafsisha na kuviua huku Kenya bado vipo! Tumeua viwanda vyote vya nguo na kugeuza baadhi kuwa vituo vya mabasi, machinjio ya ng'ombe na viwanda vya uponyaji wa akina Mwamposa! Akili gani hiyo! Tanga kulikuwa na viwanda vikubwa hivi sasa hakuna, viwanda vya zana za kilimo tumeviua vyote na mitambo kuuza kama vyuma chakavu!Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
Amin kwenye miaka 10 ijayo, nchi nyingi za Africa zitakuwa na machafuko.Habr wanjf. Ukweli nimekuwa nikufautilia kwa ukaribu siasa na uchumi wa Kenya .pia maono ya watu mbalimbali, kisaikolojia ukisoma comment nyingi inaonesha wazi vijana wengi wameshaanza kujiona wako tofauti na vijana wa nchi jirani au nchi zingine. Hivyo imekuwa kama mfano halisi kwao. Naomba niwasihi vijana msijaribu kumfanya hivyo, Kila mtu ananjia yake ya kufanikiwa wenzetu wamezoea fujo sisi sio wao, tujitafakari. Amani ya nchi yetu ni tunu yetu. Kamwe tusifuate njia potofu kudai haki. Naomba kuwasilisha.
HaswaHatuna amani tuna uoga