Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!
Screenshot_20251115-190703_Instagram Lite.jpg
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza tu maslah yao kusifia na shughuli za sherehe tu.

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana,wenzetu wamesoma hawa wetu hata darasa la 7 sidhani.Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati.., Tukimaliza kukomboa nchi tutahoji uhalali wa Bakwata hapa nchini.
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391

Hata kama BAKWATA ni madhaifu kiasi gani, ila ni kosa kubwa kumfananisha muislamu na asiye kuwa muislamu katika namna hii.

Kingine unaposema shule ni muhimu, una maanisha shule gani na kwa muktadha gani ?
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Usifadhaike shekhe wangu. Simamia tu ukweli.
 
Alafu anakuja mtu mmoja anakwambia waislamu ndio waliikomboa nchi mikononi mwa wakoloni ila historia haijawaandika.

Ingawa kuna wanaosema waislam waliopigania uhuru walikuwa wananjielewa ila baada ya kupata uhuru waislam wakaanzishiwa BAKWATA ambacho kiitifaki sawa na balaza la wazee wa TANU au CCM. Ikavunjwa ile East African Muslim Society . Hapa naweza kukubali Bakwata ni wazee wa TANU waliovaa kiislamu
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Kwani Bakwata ndo uislamu au ni nguzo ya Iman wale wa puuzi kabisa hawana akili.
 
Alafu anakuja mpuuzi mmoja anakwambia waislamu ndio waliikomboa nchi mikononi mwa wakoloni ila historia haijawaandika.
Mzee Mohamed Said mumuuelewe kila siku anaposema Nyerere aliivunja makusudi jumuiya ya waislamu baada ya uhuru ni kwa sababu aliwaona ni tishio kwa kuwa walikuwa mbele ya muda, na ni wasomi..... ndio akawaletea hawa vilaza wanaogomabia ushehe mkuu kwa kutupiana majini....
 
Sasa kwenye lile tamko la BAKWATA wapi wamesema uongo ? Au ulitaka waseme kama mnavyo taka nyinyi ?

1. Kwani hapakuwa na uhalifu ?
2. Hapakuwa na watu walio kufa pasi na hatia ?

Mbona mnakiwa mna akili za kijinga namna hii ? Acheni mihemko ?

Kingine kila sehemu Kuna menano yake ya kuzungumza.
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Sheikh Ponda ameshawasaidia waislam
 
Mzee Mohamed Said mumuuelewe kila siku anaposema Nyerere aliivunja makusudi jumuiya ya waislamu baada ya uhuru ni kwa sababu aliwaona ni tishio kwa kuwa walikuwa mbele ya muda, na ni wasomi..... ndio akawaletea hawa vilaza wanaogomabia ushehe mkuu kwa kutupiana majini....
Nakubaliana na mzee Mohamed Said humu hakuna waislamu ni wazee wa TANU wa nyuma ya paziq
 
Alafu anakuja mpuuzi mmoja anakwambia waislamu ndio waliikomboa nchi mikononi mwa wakoloni ila historia haijawaandika.

Ingawa kuna wanaosema waislam waliopigania uhuru walikuwa wananjielewa ila baada ya kupata uhuru waislam wakaanzishiwa BAKWATA ambacho kiitifaki sawa na balaza la wazee wa TANU au CCM. Ikavunjwa ile East African Muslim Soc
Hao waislamu kama kweli waliokuwepo walioshiriki harakati za uhuru basi hawakuwa mabamunda kama hawa tunaowaona sasa, hawa wa leo hii wanatia kinyaa hasa hao BAKWATA.
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Njoo kwetu huku Shura ya Maimamu. Sheikh ISSA PONDA, Yuko vyema upstairs.
 
Kobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !

Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo
 
Back
Top Bottom