Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Aiseeee ukisema sana wanakuita kafiri, ukizidi zaidi wanakusomea sijui aliyebadili au kubadilisha nguo, bora wenyewe mmesema sisi hatutaki mauzauza.
Tutolee pumbu zako zenye shombo hapa,wewe mwenyewe ni kilaza tu humu jamvini sembuse hao mashekhena ubwabwaSasa kwenye lile tamko la BAKWATA wapi wamesema uongo ? Au ulitaka waseme kama mnavyo taka nyinyi ?
1. Kwani hapakuwa na uhalifu ?
2. Hapakuwa na watu walio kufa pasi na hatia ?
Mbona mnakiwa mna akili za kijinga namna hii ? Acheni mihemko ?
Kingine kila sehemu Kuna menano yake ya kuzungumza.
NETANYAHU AKBARKwani Bakwata ndo uislamu au ni nguzo ya Iman wale wa puuzi kabisa hawana akili.
NETANYAHU AKBARPhd anayo Gwajima na hivi kakimbilia msituni. Yesu shule ya msingi kasoma nchi gani? Au alikua profesa?
HAPANA.Ndugu mleta mada usiumie sana. Wengi wanajua kuwa BAKWATA haikuanzishwa na waislam, na haipo kwaajili ya waislam. BAKWATA ilianzishwa na TANU kwaajili ya kuwapumbaza waislam kwa maslahi ya TANU na sasa ni kwaajili ya maslahi ya CCM. BAKWATA inafanya kazi kwa maelekezo ya manyang'au ya CCM. Wanachotakiwa kufanya waislam ni kuikataa kabisa BAKWATA, waendelee na taasisi zao nyingine, siyo matapeli.
Ponda amewafuta machoziHaki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Nilijua tu hamna hoja, zaidi ya kulalama.Tutolee pumbu zako zenye shombo hapa,wewe mwenyewe ni kilaza tu humu jamvini sembuse hao mashekhena ubwabwa
I wonder!
Bakwataccm kumejaa mazwazwa majuha watupu hakuna binadamu paleHaki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Wanachojua ni majungu fitna uchawi kufuga majiniKobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !
Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo
Ushawahi ona ngumbaru anaelewa hoja wewe kuna hoja gani ya maana unayotoa zaidi ya mipasho tu?Nilijua tu hamna hoja, zaidi ya kulalama.
Ponda siyo wa Bakwata wao ni njia zingine wao ni Shia wenye msimamo mkali wapenda hakiPonda amewafuta machozi
Bakwataccm wapo uvunguni mwa ccm wanaishi na Nyoka hawafai kabsaUshawahi ona ngumbaru anaelewa hoja wewe kuna hoja gani ya maana unayotoa zaidi ya mipasho tu?
Inaonekana hata maana ya mipasho hujui.Ushawahi ona ngumbaru anaelewa hoja wewe kuna hoja gani ya maana unayotoa zaidi ya mipasho tu?
Wanafuga majini kazi ni ushirikina hawana loloteAiseeee ukisema sana wanakuita kafiri, ukizidi zaidi wanakusomea sijui aliyebadili au kubadilisha nguo, bora wenyewe mmesema sisi hatutaki mauzauza.
Kwanza Dar es Salaam.Kobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !
Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo