Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Poel sana, ila ndio hali halisi, kwa sasa mtaani tunawaohopa waislamu na wazanzibari, sijui tumefikaje hapa,tunajikuta tu tunawachukia na hatutaki ukaribu nao kabisa maana tunapata tafsiri nyingi sana kutokana na yanayoendelea
 
wewe ni Mgalatia
Ni mgalatia haswa.Kwenye andiko lake ameandika na nakuu"Tutawakomboa waislamu"Hakuna mwiskamu anayesema tutawakomboa waislamu huku yeye mwenyewe akiwa muislamu.
Upumbavu wenu wa kutaka tufuate agenda zenu na mtutumie kama ngazi waislamu walio wengi hatukubali.Na tamko hilo sio la Bakwata tu bali na taasisi zingine za kiislamu.
Kwani wakristo wote ni Roman Catholic?.Mbona hakuna matamko ya KKKT,Morovian Angilican na Wasabato?
Kwani TEC ni wasemaji wa wakristo wote.Mbona hamuwashambulii hao wenzenu?
 
Poel sana, ila ndio hali halisi, kwa sasa mtaani tunawaohopa waislamu na wazanzibari, sijui tumefikaje hapa,tunajikuta tu tunawachukia na hatutaki ukaribu nao kabisa maana tunapata tafsiri nyingi sana kutokana na yanayoendelea
Kuwachukia ama kuwapenda hakutakusaidia chochote.Huna la kuwafanya utabaki na chuki yako ya udini uliyokuwa nayo kabla ila sasa umediriki kuionyesha kwa maneno.Tokea mwanzoni hukuwa unawapenda na hukuwapunguzia lolote.
Tanzania ni Nchi ya imani zote usijjifanye una hati miiliki ya hii Nchi.
 
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
In nutshell
 
Hata nyinyi mkiingia madarakani mtataka watu wa kuwatetea kutoka Imani za dini..hebu imagine ww ndo serikali ila hauna watu wa kukutetea basi utakuwa mwehu..BAKWATA wako SAWA ila wewe kwakuwa uko mrengo flani basi unawaona chongo
 
Warumi 12:20-21 SRUV
[20] Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake. [21] Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
 
Haki ndiyo hupanga sheria za utulivu kama hakuna haki sheria Amani itasimama kwa utaratibu upi? Haki ni muhimu sana ingawa wewe mtekaji muuaji na mpenda kesi kesi za uongo huwezi kujua hilo
Haki unaipataje pasi na amani ? Huenda hujui maana ya haki.

Haki inapanga vipi Sheria ? Kwanye Sheria ndio unapata haki.

Hapa inabidi tudurusi neno haki ni nini ndio utaelewa wapi unakosea.
 
Hivi akili hua mnazivua mkiingia Masjid au kwamba hao mbumbumbu wasiojua maana ya Haki na Amani ndio wa kufananisha na mimi,hope hata wewe ni zumbukuku sana kama unadai hao masheikh waliosema Inaanza amani ndio inafuata Haki katika mtiririko wa muongozo wa Taifa basi pasi na shaka nyie vilaza hamjui hata Solomon Wisdom!
Kajambe masjid huko tahira weye!
😁😁😁
Busu la Kenge
Jenga hoja acha kulalama. Kwa uliyo andika inaonekana wazi, hujui maana ya neno haki wala maana ya amani.

Inaanza amani kwanza kisha haki, utadai vipi haki sehemu ambayo hakuna amani ? Unatumia nini kufikiria ?

Solomoni Wisdom unazijua wewe. Tunataka hoja na uhalisia.
 
Hahaha aisee kama ndio akili zako zipo hivyo pasi na shaka wewe mbumbumbu sana kubali tu acha kuleta viroja vya kujenga hoja
Yaani inaanza Amani ndio inafuata Haki serious?
Hivi huu msemo wa Pasipo Haki hapana Amani huujui au?
Hivi mtu hajapata Haki yake atapataje amani kwa mfano?
Hizo akili hua mnavua mnapoingia Masjid?
Hivi unaijua Suleiman Wisdom au wewe ngumbaru nikupe elimu?
Unajua Mfalme Suleiman aliomba nini cha kwanza kwa Mungu na baada ya Hapo akazidishiwa nini wewe kiazi?
😁😁😁
 
Hahaha aisee kama ndio akili zako zipo hivyo pasi na shaka wewe mbumbumbu sana kubali tu acha kuleta viroja vya kujenga hoja
Yaani inaanza Amani ndio inafuata Haki serious?
Tafsiri neno haki hapa, uone ujinga wako ulipo. Shida yenu mnasikiliza maneno ya vilaza kama vile Maaskofu, mnayabeba pasi na kuhakiki.

Yaani haki ndio inaanza, hii akili ya wapi ? Tamko hali lina maana nyingi, miongoni mwa maana zake ni kile anacho stahiki mtu kwa mujibu wa Sheria na taratibu, chenye manufaa na Toka ya hakika.

Sasa kwa maana ya haki unayoijua wewe, njoo ututhibitishie hapa, kwamba inaanza haki.
Hivi huu msemo wa Pasipo Haki hapana Amani huujui au?

Huu ni msemo tu, ona akili yako ilivyo kuwa ndogo yaani unajenga hoja kwenye msemo ? Ndio maana unawaona Maaskofu wana akili kwa ujinga huu. Ngoja nikupe mfano wa haki, wewe ni haki yako kuishi sababu upo hai ndio maana unaishi, vipi unaweza ishi sehemu ambayo haina amani ? Wewe ni haki yako usome na utafute rizki, je unaweza kusoma na kutafuta rizki sehemu ambayo hakuna amani ? Acheni uhayawani na kutulete misemo ya kijinga jinga.
Hivi mtu hajapata Haki yake atapataje amani kwa mfano?

Taja haki zako, kisha uwepo sehemu ambayo haina amani kama haki zako utazidiriki au utazipata. Yaani wajinga sana nyinyi.
Hizo akili hua mnavua mnapoingia Masjid?
Hivi unaijua Suleiman Wisdom au wewe ngumbaru nikupe elimu?
Kijana tunataka hoja na uhalisia, usilete malalamiko na mihemko.

Sijui Solomon Wisdom, naona unaitaka taja tu na huonyeshi munasaba wake katika hili tunalo lijadili.
Unajua Mfalme Suleiman aliomba nini cha kwanza kwa Mungu na baada ya Hapo akazidishiwa nini wewe kiazi?

Sijui aliomba nini, naomba uniambie aliomba nini, kisha hiko alichokiomba uonyeshe munasaba wake na hiki tunachokijadili au mada hii husika.
 
bakwata sio wasemaji wa waislam WOTE.hauwezi kuuchukia uislam Kwa sababu ya bakwata.
Sasa kama una nia thabiti ya kutetea na kunusuru uislamu na kauli za wahuni ulipaswa kutoa tamko kabla ya mtoa mada kwamba kauli yao haiwakilishi waislam wote

Ni misimamo tu wa wala biriani la ngamia aka 'wasteland Noah' 🤭🤣🤣🤣 na Tende za Yathrib!

Narudia kwa niaba ya mtoa mada ni aibu kwa maaskofu kujilinganisha na madrasa wenye PhD za Vitipa na uganga wa kienyeji hawa watu wana ulimwengu wao ipukaneneni na hivi viumbe
 
Kwani kauli za TEC ZINA WAKILISHA WAKRISTO WOTE?
 
Back
Top Bottom