Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Nikiangalia lile tamko la BAKWATA najisikia kinyaa kuwa muislam!!

Kuwachukia ama kuwapenda hakutakusaidia chochote.Huna la kuwafanya utabaki na chuki yako ya udini uliyokuwa nayo kabla ila sasa umediriki kuionyesha kwa maneno.Tokea mwanzoni hukuwa unawapenda na hukuwapunguzia lolote.
Tanzania ni Nchi ya imani zote usijjifanye una hati miiliki ya hii Nchi.
Tumekuelewa,kachukue bunduki uendelee kuua
 
Ogopa sana mijitu inayoua wenzao kwa jina la Allah.

Followers wa Mudi huwa ni vilaza.

Kule Nigeria 🇳🇬 na Sudan 🇸🇩 yanaua raia kama kuku, wanataka nchi yote iwe ya kiislamu.

Makobazi shida sana dunia hii.

halafu baadae unarudi kwa upande mwengine unalilia waislamu wakusapotini kwenye uhuni wenu au sio
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tangazo la wale majuha la BAKWATA limenifanya mimi kama muislam nimshukuru marehemu baba yangu kwa kuniwezesha kupata elimu ya kutosha ya dini na dunia kuweza kuchanganua haki na batili bila kuhofia tumbo langu.

Pia limenifanya nihakikishe nawasomesha wanangu elimu zote mbili za dini na dunia ili wasiishie kuwa wapumbavu kama wale Masheikh Ubwabwa wa BAKWATA.
N ikiwa mdogo nilikuwa nikisikia RTD, BAKWATA na BALUKTA. Hivi hii BALUKTA liishia wapi, na tofauti yake na BAKWATA ni nini?

CC Hamatan dos.2020 Tui Kisai Cyan2
 
Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli

Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!

Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!

Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b

Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!

Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!

Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391



Kama wewe ni Muislam utakuwa unasumbuliwa tu na inferiority complex, Allah Akuongoze wewe na sisi. Bakwata licha ya madhaifu yao yote ila ni Waislam na huwezi kuwafananisha na makafiri.

The worst Muslim ni bora kuliko the best kafiri.
 
Kobaz hawanaga elimu ! Tuwasamehe tu ! Wao ni madrasa tu! Wana uelewa mdogo sana khs hii dunia ya kawaida tunayoishi !

Swali dogo, nitajie sehemu yoyote Tanzania hii ambayo hawa jamaa wameenea/wapo wengi alafu kuna maendeleo


Ni sehemu gani hii Tanzania nyinyi makafiri mna maendeleo kuliko Waislam? Nitajie sehemu ambayo makafiri wameenea hii nchi na imeendelea.
 
Back
Top Bottom