Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Kwani PhD ina mchango gani katika kadhia ya uchaguzi na yaliyotokea ?Labda phd za fitina na Majungu
Usifadhaike shekhe wangu. Simamia tu ukweli.Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Kwani Bakwata ndo uislamu au ni nguzo ya Iman wale wa puuzi kabisa hawana akili.Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Mzee Mohamed Said mumuuelewe kila siku anaposema Nyerere aliivunja makusudi jumuiya ya waislamu baada ya uhuru ni kwa sababu aliwaona ni tishio kwa kuwa walikuwa mbele ya muda, na ni wasomi..... ndio akawaletea hawa vilaza wanaogomabia ushehe mkuu kwa kutupiana majini....Alafu anakuja mpuuzi mmoja anakwambia waislamu ndio waliikomboa nchi mikononi mwa wakoloni ila historia haijawaandika.
Sasa kwenye lile tamko la BAKWATA wapi wamesema uongo ? Au ulitaka waseme kama mnavyo taka nyinyi ?Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Sheikh Ponda ameshawasaidia waislamHaki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli
Kweli shule ni muhimu, haya ndo madhara ya kutosoma ndugu zangu, haya ndo madhara ya kuwa mabaki ya watumwa!!
Haya ndo madhara ya kuwaza alkasusu na pilau na ubwabwa, Shame on them!!
Sometimes huwa najiuliza watu wengine walizaliwaje! Wametia kinyaa wamechafua dini sana hawa watu BAKWATA ni kikundi cha watu wa ccm!! Ccm b
Bakwata always wamekua kwenye wrong side of the history kila jambo!! Ni kikundi cha watu wasiopungua 30 ambao kazi yao ni kuwaza ubwabwa na misaada ya Tende tu kutoka Arabuni!!
Kumfananisha Askofu na sheikh ni kosa kubwa sana, kwanza hawana hadhi ya kuwa na level moja hata kwa mzee wa kanisa!! Au frateri au yoyote!!
Mimi ni muislam lakini silipendi hili litaasisi na silifuati...Bakwata wamekua walevi katika nchi hii, tukimaliza kukomboa nchi tutawakomboa waislam kwa kulifutilia mbali hili taasisi la hovyo!!View attachment 3502391
Nakubaliana na mzee Mohamed Said humu hakuna waislamu ni wazee wa TANU wa nyuma ya paziqMzee Mohamed Said mumuuelewe kila siku anaposema Nyerere aliivunja makusudi jumuiya ya waislamu baada ya uhuru ni kwa sababu aliwaona ni tishio kwa kuwa walikuwa mbele ya muda, na ni wasomi..... ndio akawaletea hawa vilaza wanaogomabia ushehe mkuu kwa kutupiana majini....
Hao waislamu kama kweli waliokuwepo walioshiriki harakati za uhuru basi hawakuwa mabamunda kama hawa tunaowaona sasa, hawa wa leo hii wanatia kinyaa hasa hao BAKWATA.Alafu anakuja mpuuzi mmoja anakwambia waislamu ndio waliikomboa nchi mikononi mwa wakoloni ila historia haijawaandika.
Ingawa kuna wanaosema waislam waliopigania uhuru walikuwa wananjielewa ila baada ya kupata uhuru waislam wakaanzishiwa BAKWATA ambacho kiitifaki sawa na balaza la wazee wa TANU au CCM. Ikavunjwa ile East African Muslim Soc
Phd anayo Gwajima na hivi kakimbilia msituni. Yesu shule ya msingi kasoma nchi gani? Au alikua profesa?Bakwata kukiwa na PHD hata moja tu nahamia burundi.
Njoo kwetu huku Shura ya Maimamu. Sheikh ISSA PONDA, Yuko vyema upstairs.Haki nilijiona kinyaa nilivyoona tamko la wale watu, Wanafanya dini ionekane kinyaa kweli kweli