Tafuta mke huko chuo!Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
usikate tamaa pambana by any means...maisha hayana formula.sio lazima uajiriwe.Nikiwaangalia marafiki niliomaliza nao darasa la saba wameshajenga tena nyumba za kisasa, wana magari wameshaoa wana biashara za kueleweka lakini mimi niling'ang'ania kusoma hadi chuo kikuu, ajira sina, chochote sina hadi mademu naogopa kutongoza angalau nipate mke jamani, maisha ni kazi kweli kweli.
Cha kushangaza ambao wana elimu ya chini na yakati ndio wanaomiliki mashule magari biashara kubwa kubwa na wenye elimu ya juu ndio waajiriwaji.Angalau vijana tumeaza kujielewa sasa.
ila ht mm nikiipigia hesabu miaka 2 ya a level, 3 ya chuo na 2 mingine ya kusugua bench kusubir kuajiriwa naona ningeitumia effectively nisingekuwa hapa nilipo leo,,ila famililaii sio kesi ni suala la muda tuu
Tunaomba utuunganishe na babaako tumuombe kazi ili nasi tufanikiwe
Wa chuo hawataki kuishi na asiye kua na kitu wanaolewa na alieishia la saba ambaye anamiliki maliTafuta mke huko chuo!
Ila kweli ndg nisije kufa stress buremaisha sio lazima Mfanane.
ishi maisha yako
Umeleeza vizuri sana asante bora nilime hata matunda mbogambogaMaisha ni kitu cha ajabu sana kuna mwenzako pia anasema ningejua bora ningesoma. Elimu ni kitu muhimu sana ndugu asikudanganye mtu. Tatizo tunaishi kwenye jamii ambayo haitufanyi kuwa wabunifu na kuacha legacy hivi isack Newton alikuwa tajiri? Shaban Robert alikuwa na pesa? Kikubwa nikuamua hapa duniani nataka niache alama gani. Huko India jamaa alianza kupanda miti kuokoa kijiji chake na ukame na mabadiliko ya hali ya hewa .Leo national geographic society wametambua mchango wake. Tumia elimu yako kuacha alama duniani.

AsanteHAMNA UHUSIANO KATI YA UMRI NA MAFANIKIO,..
UKIJUA HATMA YA MAISHA YAKO ILIPO UTAFANIKIWA KIUWEPESI MNO (THO YOU'LL FACE CHALLENGASE IKA HUTAKATA TAMAA KWA HARAKA)
KILE KILICHOPO NDANI YA MOYO WAKO NDICHO IKIFANYIE KAZI",..¡!
JITAFAKARI ZAIDI NA ZAIDI..
KUFELI ELIMU SIO KUFELI MAISHA
KUFAULU ELIMU SIO KUFAULU MAISHA",..¡!
KUFANIKIWA KUMPO KWA MTU MWENYEWE,.. VINGINE NI KUIJUA ZAIDI DUNIA YA SASA INAVYOHITAJI
KUMBUKA **KAZI NA SALA PIA**
Yaani we acha tuKimsingi mleta uzi yupo sahihi,....Wengi walioishia Msingi au Form 4 ndio wenye mafanikio makubwa na wanamiliki vyombo vya kueleweka mijini.
Pia huwatuma wasomi kufanya shughuli mbalimbali kwa malipo kiduchu.
Elimu haina maana kama itashindwa kukutoa kamasi uweze kusonga mbele.

Kweli mkuuusikate tamaa pambana by any means...maisha hayana formula.sio lazima uajiriwe.