Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Siku zote wasomi hawajawi kuwa matajiri ww subili kuajiliwa na kutumwa na hao ulio waacha std 7. "ngumu kumeza".
 
Nliosoma nao shule ya msingi wengi wapo nyumbani wamezalishwa watoto wametulia wanalea...Wa secondary na chuo ndo wananichallenge

Mda wangu wa kufunguliwa milango ya rizki haujafika tuu..!!! Ukifika kila kitu kitakaa sawa.
 
kikubwa ni malendo tuu,sasa ujitathimini wew malengo yako ni yapi na kwanini mpaka sasa upo chuo unasoma? na una mpango wa kupata maendleo kiasi na muda gani? huenda ndicho wenzako kimewafanya kuwa hapo walipo kutimiza ndoto zao.
 
AIsee hayo mambo yanatesa ...unanikumbusha mimi enzi hizo sijaamua kuacha bahasha na kuzifata fursa...Fanya maamuzi magumu...Niliacha vyeti vijijini mimi naenda dar kupambana bil aya vyetu now mambo safi.
 
Kila mja na riziki yake mkuu,inawezekana hata ungeishia hilo darasa la saba bado mpaka leo ungekuwa huna lolote,Mungu ndio hupanga lini na saa ngapi atakupatia,usilaumu,safari bado.shukuru kwa kila jambo kuna wengine hata hiyo elimu hawajaipata.


Maneno ya mkosaji., Mganga njaa
 
Utakula hizo alama
 
Pole sana...

Wenzako wamefanya maarifa ya ununuzi wa vyeti na wamenufaika kuwa mabosi wa mkoa mkubwa.

Wengine wakafoji vyeti wametumbuliwa...

Dunia sio mbaya, binadamu ndio wabaya.
 
WAIT FOR YOUR TIME ACHA KUGEZA LIFE
 
Reactions: SDG
Siku zote wasomi hawajawi kuwa matajiri ww subili kuajiliwa na kutumwa na hao ulio waacha std 7. "ngumu kumeza".
Acha kukatisha tamaa vijana,leta hio mifano ya std 7 ambae ni tajiri nchi hii hapa.
Fuatilia matajiri wa tz uone walivopiga kitabu kuanzia kwa Mengi,bakhresa,dewji etc mpk fobes inawatambua.hao std wana hela za kula tu na familia zao unadai matajiri.unaelewa maana ya utajiri ww?
 
Elimu yako itakua feki itabidi tuihakiki, ukisoma una add value ktk maisha haiwezekani ukawatamani waloishia la 7 lazima kuna kitu hakiko sawa mahali
 
Pengine una laana maana hata usome vyuo vyote duniani kama una laana sahau kufanikiwa
 
Umenichekesha sana kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…