Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

Hadi roho inadundadunda[emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Mi nahisi swala la mke halina shida we tafuta pesaa kwanza watakujaa wenyewe utaniambia
 
Tupe ujuzi kaka na sisi tupigane
 
Mi mwenyewe sina ndg maana nimetuma uku nipate mawazo
 

Ukisemacho ni kweli chukulia kama ni changamoto tuu,Maisha kama Gwaride mkuu........ukiambiwa nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho na wa mwisho anakuwa wa kwanza.
Cha muhimu amini bado una muda wa kurekebisha pale ulipo kosea na kufanikisha ndoto za maisha yako.
 
Mkuu usikate tamaa,na uachane na hayo mawazo ya wengn mbn wana hiki mimi sina yatakupeleka kubaya,coz utatumia kila njia ili upate
 
Ukiishi kwa kusikia miluzi na maneno ya watu utakosa raha ya Maisha bure.
Kila mtu anakimbia kwenye line yake na hatugongani wala hatushindani.
Ishi maisha yako
Wew unalilia kiatu kizuri lkn mwenzio hana hata mguu wa kuvaa kiatu.
Please live your life.
I remember nikiwa chuo jamaa alinicheka kwa vipe naishi hostel sina sub woofer n.k
Yeye akawa amepanga nje.
Nilimwambia sishindani na wew
Sitoshindwa kununua kitanda wala redio, vitu vya kawaida tu.

Hey guy! Amsha akili yako, jiwekee malengo yako na uishi maisha yako, utafurahi sana.
 
Mimi mwenyewe linaniathiri sana psychologically ..wenzangu wote niliowaacha lower levels sasa hivi wapo higher levels kiuchumi
Utaishia kucopy maisha ya watu tu
Be free, acha umbea na Kuwa na wivu na maisha ya rfk zako
Be yourself
Watu wangapi wamefanikiwa?
Au Kwa Sababu wachache Hao ulipata nafasi ya kusoma nao?
Please be You, yourself
 
Daa huo ujumbe barikiwa sana ndg sikutegemea ningepata ushauri mzuri kama huu.
 
Je, uliwahi kufikiria aliwapita wangapi wanamaisha magumu ya kupindukia?
Mama ako angekuwa mfanyabiashara huenda mngekuwa na maisha magumu au hata asingekutana na baba ako
Yaache maisha yakupange,
Kila mtu ananjia yake ndugu
Kuna watu wameshajaribu biashara Mpk amekata Tamaa!
Fanya kile unachoweza kufanya na jinsi akili yako na mazingira uliyomo vinavyokupeleka.
Usicopy Maisha ya baba, Mama, mjomba, Rafiki ako wa shule n.k
Jiulize Kwa nini wafanya biashara wengi waliofanikiwa wakifa warithi wao hushindwa kuendeleza biashara?
 
Tatizo akili yako imekuwa corrupted na kale kamsemo ka "Elimu ndio ufunguo wa maisha"ona sasa wenzako wametafuta funguo nyingine na wanapeta wewe endelea kuutafuta huo ufunguo muda bado unakusubiri.
 
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…