Nikiangalia marafiki niliohitimu nao primary hadi naomba

niliwahi wazo hivi hivi ila kilichokuja tokea nilibaki najilaumu kwa nini niliwaza hivi

kifupi jamaa niliye soma nae aliishia diploma akalamba shavu flani la uhasibu, ile narudi mtaani jamaa ana miradi, nyumba 2, gari, .mke kifupi yuko njema. nikikaa nae anawazia kupata m100 aachane na uhasibu aingie kwenye mambo yake.

akaja nunua bajaji mkononi mwa mtu, mwenye nayo anadai iliibiwa na dereva wake kuuawa kauza kila kitu kujiokoa na kesi iyo. now ana hali mbaya mpaka najilaumu kutamani kuwa yeye.

kifupi mambo yatakuwa poa kwa muda wako, utakula mazuri na mabaya yako.
 
Msomi unajuta eti umechelewa!
Hao wamejenga kwa msoto na maisha yao yote yataendelea kuwa ya msoto.
Tumia akili na maarifa uliyoyapata kubadili maisha yako,
 
Daah.. story yako imenisikitisha mnoo...
Mwanzo nlivyoanza kuisoma, nilijua jamaa alianza na maisha mazuri kukuzidi.. lakin baadae ukamfikia na kumzid.. lakin kumbe we umejiona umefanikiwa baada ya jamaa kurudi chin na kuwa na hali mbaya kukuzidi....

Hapo umefeli mkuu, na ukitaka nikupe elim juu ya hilo... itabd unilipe.
 
unipe elimu ya nini?

elimu niliyo ipata mtaani imenifanya nisijilinganishe wala kutamani mafanikio ya mtu. sifurahii jamaa kushuka ila imenipa funzo kwamba lolote laweza tokea kwenye maisha.

waweza tamani mazuri ya mtu kwa sasa ila badae akapata mabaya zaidi

wewe wazo na akili yako umefikiri nafurahia anguko la jamaa siko huko mimi? a
a
elimu yako kaa nayo tu mkuu
 

Hamna sehem nliyosema unafurahi,
Ila tuu na we umejiona umefanikiwa baada ya jamaa kurud chin na kuanza kuish maisha kama yako....
lakin pia yawezekana ukitazama maisha kwa style hyoo.. inakusaidia kupunguza presha kutoka kwa wenzako waliofanikiwa
 
Hamna sehem nliyosema unafurahi,
Ila tuu na we umejiona umefanikiwa baada ya jamaa kurud chin na kuanza kuish maisha kama yako....
lakin pia yawezekana ukitazama maisha kwa style hyoo.. inakusaidia kupunguza presha kutoka kwa wenzako waliofanikiwa
maisha ndiyo yako ivo mkuu leo uko chini, kesho utapanda ukiyatizama kwa namna ya kujilinganisha na ulio soma nao, cheza nao utaishia kuumia tu
 
maisha ndiyo yako ivo mkuu leo uko chini, kesho utapanda ukiyatizama kwa namna ya kujilinganisha na ulio soma nao, cheza nao utaishia kuumia tu
Lakin wenzako wanavyoshuka... haimaanishi wewe ndo umepandaa...
Hlf maisha bila kujilinganisha na wenzako mlionza mbio pamoja... ni dalili ya kujikatia tamaa... lakin katika maisha.. kuna mda unahitaji kuchungulia wenzako wamefika wapi ili ujue kama spid unayotembea nayo ipo vizur au vp
 
mkuu kila mmoja ana namna yake ya kutafuta mafanikio, kama unazimiani njia zako hata wenzako wakitangulia utawakuta tu kikubwa uzima

kuna wakati hata ukijilinganisha huwez fika, leo aliyekua na dangote akajilinganishe nae utaishia pata msongo wa mawazo bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ... hapo tunapishana mitazamo tuu
 
Wasomi mna analyze risk kwa kila fulsa ya kufanikiwa kimaisha
Wakati wasiosoma akiona fulsa anaingia kichwa kichwa na anapiga hela
Sasa we na usomi wako endelea kukaa njia panda
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…