Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Nikienda Sokoni namuungisha mfanyabiashara Mwanaume na kumuacha mfanyabiashara Mwanamke Kwa sababu zifuatazo:

Huwa nanunua kwa wanawake kwa sababu wanaume masokoni au mabuchani huwa na tabia ya kuchukulia wanaume wenzao poa Ila wanajilegeza kwa wanawake

Ila mimi nikienda sokoni na nikakutana na wanawake watu wazima au wazee. Huwa ni rahisi kupata vitu vingi kwa bei nzuri kwa sababu mimi sio mchaguzi mzuri wa vitu lakini pia huwa naongea nao kiheshima kiasi huwa nikienda mara mbili tatu kuitwa "karibu mwanangu" Ni kawaida sana.

Halafu assumptions nyingi umeziweka generally sana pasipo kujua wengi hapo masokoni ni wanawake wenye hali duni. Ila wanajikurupusha saa tisa usiku ili wakapambanie goli,

hawa ni watu wenye option ya kujiuza au kutafuta ndoa ili wabweteke kirahisi Ila wanapambana kulisha na kusomesha familia zao.

Hawa sio slay queens mkuu na kama ushawahi kukaa uswazi ukaona hustle zao ungefuta point nyingi sana hapo. Maana wengine wana waume wanakunywa pombe tu na kuhonga vitoto vya 2000 pesa Ila mama ndio anasimamia familia.


Sisemi upo wrong Ila ulivyoandika naona kama umedogosha badala ya kuwaheshimu wanawake wapambanaji 🙏🏽
Umeongea vema
 
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na Mwanaume Basi nitaenda kununua bidhaa Kwa mfanyabiashara Mwanaume.

Juzi jumatatu nilienda Mabibo Sokoni kuhemea mahitaji ya Nyumbani. Nilipofika kama kawaida yàngu nikaanza mahitaji yàngu . Sasa kumbe kûna mwanamama mmoja alikuwa akinifuatilia, nilipofika Eneo la matunda, ndizi, àmbapo Yule Mama yupo, nikaenda Karibu yake na kununua ndizi kwa kijana aliyejirani yake. Nilipomaliza nikashangaa Yule Mama ananitania;
"ñàona unawaungisha Wanaume Wenzako tuu"
Nikashtuka.
Nikamwambia hamna.
Akaniambia hii ni mara ya tatu toka nimekuona soko hili. Ukifika unanunua Kwa Wanaume.

Nikabaki nashangaa Moyoni nikisema kumbe kûna Watu wanafuatilia nyendo zangu nikifika Hapa Sokoni.
Akaendelea, hivyo viazi Ulaya umechukulia Kwa Yule Mzee pale, hivyo vitunguu na karoti kule Kwa Masai, hizô Nyanya nimekuona pale Kwa Juma, Hilo papai pekee tuu ndîo umenunua Kwa Mwanamke. Ila Vitu vyote vilivyobaki umenunua Kwa Wanaume wenzako.

Wauzaji wengine na Watu wakawa wanashangaa, Mimi nikasema siô kweli lakini muuzaji wa ndizi akawa ananitetea kuwa kwani kuna shida gàni Mimi kufanya hivyo. Mimi nikaondoka zangu.

Zifuatazo ni sababu zinazonifanya mara nyingi nikienda Sokoni au kwèñye Maduka kuwaungisha Wanaume kuliko Wanawake;

1. Huduma Bora.
Hapana Shaka Wanaume wengi wanajua Kutoa huduma nzuri kuliko Wanawake Karibu Kwa kîla sekta.
Kauli nzuri Kwa wateja. Wanaume wana- customer care nzuri kuliko Wanawake.

2. UPEO NA UELEWA.
Wanaume wengi wanaupeo Mkubwa kuliko Wanawake linapokuja Swala la Bidhaa au huduma.
Unaweza kujaribu kupata msaada hata Tanesco customer Care utagundua kuwa Wanaume wanajua Vitu vingi kuliko Wanawake.

Ûkienda kununua labda Simu au redio au TV au Fridge. Mwanamke hawezi kukupa maelezo mazuri yaliyonyooka kama Mwanaume.

3. Mwanaume anamtazamo Bora kuliko Mwanamke katika biashara.
Mwanaume anajua huduma yake nzuri ndiyo itakayompa wateja lakini Wanawake wengi mtazamo waô ni kuwa mwonekano na mvuto wao ndîo utakaoleta wateja.
Hii inafanya Wanawake Kuwekeza Ñguvu nyingi kwèñye mwonekano waô kuliko ujuzi na Kutoa huduma Bora Kwa wateja.

4. Wanawake wengi Wana Kasumba Mbaya.
Wanawake wengi wanatoa huduma Kwa kuangalia mwonekano wa mteja lakini pia Kulingana na mteja jinsi atakavyoonyesha uwezo wake.
Hii ni tofauti na Wanaume wengi ambao huhudumia mteja yeyote na kumpa huduma nzuri Bila kujali mwonekano wake.

5. Pesa ya Mwanaume ni Pesa ya jamii lakini Pesa ya Mwanamke mara nyingi huwa Yake na Watoto wake tuu.
Nikimuungisha Mwanaume ninauhakika jamii yôte imepata Pesa akiwemo Mwanamke lakini nikimuungisha Mwanamke kûna Asilimia kûbwa hiyo Pesa asiipate Mwanaume. Kwani kwèñye jamii Pesa ya mwanamke ni ya Mwanamke na Pesa ya Mwanaume ni yawote.
Hiyo inanifanya Bora nikamuungishe Mwanaume ili familia na jamii ipate Pesa.

6. Kuimarisha Familia na Ndoa.
Kadiri Mwanaume anavyofanikiwa ndivyo familia yake inavyoimarika na kustawi na Mke wake anazidi Kumpenda na kujivunia kuwa na Mume mwenye mafanikio
Lakini kadiri Mwanamke anavyofanikiwa ndivyo uwezekano wa familia kuanguka unavyozidi kuwa Mkubwa.

Kwangu kumuungisha Mwanamke ni kama kumpa Ñguvu na ya kuivunja Ndoa na familia yake.

7. Wanawake wengi wanadharau wakifanikiwa.
Simuungishi Mwanamke kutokana na tàbia zào za kudharau Wengine. Hasa pale wanapokuwa wamefanikiwa.
Nimeshawaona wengi. Hawaishii tuu kudharau Waume zao Bali hata kudharau Wanaume wôte Maskini waliopo mbele Yao.

Kudharau Wanawake wenzao.
Wanawake wengi siô kwamba wamefanikiwa kivile. Labda anakibiashara chake kinamuingizia labda Milioni Moja hizô dharau kwèñye jamii atakazozionyesha siô pouwa. Ndîo maana Sisi Watibeli tunajua nini chakufanya kwèñye Kesi za kibiashara.

Mwanamke anafanya biashara na anapata Pesa lakini hataki kuchangia pato la Nyumba yake anamuachia Mumewe kîla kitu. Sasa huyo unamuungisha wa Kazi gàni?

8. Analea Watoto pekeake alafu anawapa Sumu ili waje wamtukane Baba Yao.
Wanaume sisi tunalea Watoto na hata Siku Moja hatujawahi kuwaambia Watoto wetu wawadharau Mama zào, au hatuwezi kuwaambia Watoto kuwa Siku mkifanikiwa msisaidie Mama zenu.
Lakini Wanawake wengi wanaolea Watoto waô wènyewe Kwa kutelekezewa Watoto huwapandikiza Sumu Watoto waô kuwachukia Baba zào.

Mimi Taikon nikisikia mwanamama analalamika kuhusu kulea Watoto wake mwenyewe na kumlaumu Mwanaume aliyemzalisha huyo Bidhaa Zake au huduma Zake siwezi kumuungisha.

Mpaka Ile dhana potofu itakapoondoka Kwa Wanawake kuwa jukumu la Maisha Yao lipo Kwa Wanaume.
Mwanamke lazima ajue Maisha yake Yapo juu yake mwenyewe. Lazima Afanye Kazi.
Asimtegemee Mwanaume Kwa sababu akishamtegemea lazima awe na Sumu ya Lawama.
Awe na uwezo wa kulea Watoto wake atakaowazaa mwenyewe hata kama Siku Mumewe wakiachana íwe Kwa talaka au Kwa KIFO.

Ukizaa Watoto ni jukumu lenu wôte wawili kuwalea Watoto hao. Wôte Kwa pàmoja.

Kama ilivyo Kwa Sisi Wanaume tukiachiwa Watoto hatuwezi kuhitaji msaada wa Pesa au mahitaji Kutoka Kwa Mama wa Watoto ndivyo hivyohivyo Wanawake wawe hivyo.

Acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Lakini uwe unaangalia ,wanawake wengine wanatafutia familia ambazo wanaume wamezikimbia ,so mimi huwa nawaungisha zaidi wakinamama na wanaume ambao ninahisi wanamajukumu au ninaoona wanaheshima na hela yangu haiendi bure.

Pia nikikuta wauzaji wawili sehemu moha huwa nawaungisha wote nusu nusu

Hio ndio kanuni yangu ,mnisahihishe kama nina attitude mbaya
 
Hata ukifa unazikwa na wanaume sio wanawake ,😂😂
Ngoja waje wa 50/50 uambiwe unaleta ubaguzi.
Ni,kweli mkuu na,hata kinafasi ya uumbaji na mgawanyo wa majukumu ya viumbe wote. mwanaume ndio kiumbe pekee aliyepewa vitu vingi na mitihani akawekewa mingi vile vile ,,na wale,wa 50/50 wasichokijua ni,kuwa Pepo na Dunia alipewa kwanza mwanaume.
 
Mm ni me siungishi me wenzangu labda nikose kwa ke.naungisha k cause anaweza ofa kipochi manyoya wan dei.weee me utaofa kisamnvu cha kopo wakati me napenda nyama laini kama mapupu tena yale ya gizani
 
Back
Top Bottom