Nikifa mke wangu asiolewe

Ukifa habari yako imeisha, ya duniani haya kuhusu tena kwa hiyo kama mkeo anavutia lazima tumuoe.
Ukiwa unaongea hivyo kama nani yaani?
Mzee hii dunia utaona chungu mpaka utajichukia nitafanya kila niwezalo
 
Nikukoswa ustaarabu kuoa mke wa marehemu . mke wa mwanaume mwenzio hata kama amefariki Nivyema na haki
asiolewe na mwanaume yeyeto yule.

Hii inauma sana na hata ukibahatika kuingia peponi bado mawzo yako yote yatakuwa kwa mkeo.
Ebu tuweni na adabu hata kidogo.. .... wanawake ni wengi wapo wengi sana kwanini ung'ang'anie mke wa marehemu?

Binafisi NIKIFA MKE WANGU ASIOLEWE.
 
Bwata limelolea pole sana mkuu uyo mkeo mpaka muda huu kuna mwamba anapiga sana tu adi ambapo wewe hupigi
 
Yaani tutaelewana tyu
Kuna miamba haisikiagi hadi utumie mabavu
Am ready kupimana uanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…